Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

Asante kwa maelekezo mujarab kiongozi.

Tunakushukuru kwa kuendelea kufadhili na kusimamia hili jukwaa pendwa. Na sisi watumiaji tutakuwa mstari wa mbele katika kulinda hadhi na heshima ya JF kwa kuandika habari makini na weledi wa hali ya juu sana.
 
Hivi ni kwann Huwa mnajiamulia kufuta thread ya mtu bila kumpa taarifa au vinginevyo?huu sio udikteta ambao tunaupinga Kila siku enyi JF? halafu kuna watu wanatoa lugha chafu lakini unakuta ikitolewa report bado apewi Ban ,unakuta bado anaendelea kuporomosha matusi! Wengine humu ni vichaa kwaiyo akiripotiwa mara kwa mara inatakiwa apigwe Life Ban.. sikutegemea mtu kama GENTAMYCINE Hadi leo bado hajapigwa marufuku kutumia huu mtandao! ila pamoja na yote mnastahili pongezi pamoja nakupitia changamoto nyingi ila forum yenu imetusaidia sana sana.
 
Jamaa anamatusi yule utafikiri alizaliwa kinyumenyume
 
65173.jpg
Boss Maxence Melo, fungulia hiki kipengele Aise.
 
Mkuu,

Si mimi, yaani hata uniite MFIA DINI sina shida, naitetea haki yako ya kunifikiria upendavyo.

Umma ukiripoti kwa wingi kuwa unawakwaza, hatuna namna ya kulipitia bandiko
Naam mkilipitia na kuona linakasoro pls tuwe tunajurishwa ili tujifunze sio kufuta kisha mnakaa kimya sisi sio manabii kwamba tutaota hapana tujurishwe.
 
Back
Top Bottom