Shirika la posta lapoteza 1.2 billion ndani ya siku 18 tu

Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi utakuta na wewe ni mshauri wa jiwe. Waafrika sijui nani katuloga hakyanani!!

Akili mfilisi
 
Technology means simplicity... unawaza kinyume... shida sio nani anapata pesa shida ni nani anaona wepesi...
 
Mkuu,
Why EMS?? Why not normal postage of 900/=??
 
Ungemalizia kwa kuwataka Boeing kutumia SLP kwa delivery ya ndege zijazo!
 
Hizi ni rohooo mbayaaa sana!!! Unafaaa kuloga hufikilii upande wa pili nafasi zilizotangazwa ni ngapi na wanaohitajika ni wangapi?
 
Mkuu vijana hawana hela hata ya bahasha wahurumie. Elfu 11,500 kubwa sana kwao

Mbona wameshatoa zaidi ya hicho kiwango? Watu wamefunga safari kutoka mikoani kwenda UDSM na vyuo vingine walikosomea kwenda kufuata vyeti, alafu wakagharimikia kwenda kwenye internet cafe kujaza online, wengine wamelala lodge. Hivi hamna huruma na hao vijana?
 
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanatafuta kazi badala ya kuwa tafuta njia za kuwapunguzia makali ya maisha wewe unawatafutia njia za kuwaongezea ukali wa maisha.

Kwa watu wenye fikra kama zako, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Siyo wazima baya..ni ubunifu tu..lakini kwanini wasitumie email...su kwanini kusiwe na tovuti moja ambapo watu watatumia kupata ahora Za serikali...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom