Shirika la posta lapoteza 1.2 billion ndani ya siku 18 tu

Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kirahisi zaidi wangeweka access ya kulipia ndani ya hiyo system, ambapo may be anayeomba kazi angetakiwa kulipia hata kwa mpesa 5hen access ya kuendelea ku submit application yake inakuwa active., kwa kufanya hvyo wangekuwa wameshughulika na hilo kwa digitalized way

Mambo ya Mwaka 2018 unatuletea leo hii mwaka 2019?
 
Nafikiri kirahisi zaidi wangeweka access ya kulipia ndani ya hiyo system, ambapo may be anayeomba kazi angetakiwa kulipia hata kwa mpesa 5hen access ya kuendelea ku submit application yake inakuwa active., kwa kufanya hvyo wangekuwa wameshughulika na hilo kwa digitalized way

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri sana hii,nadhani ifike kipindi watz tuache kulia lia na kila raia awajibike kuletea maendeleo nchi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo ya kinyonyaji watu hata hela ya bando ya kuingia huko ajira portal hawana hiyo 11500 waitoe wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wajinga wenzio wamekutilia na like kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi wazo langu ni kuwa kazi/majukumu ya shirika la posta kwa sasa yamekuwa ya kianalogy.Kwa hiyo ibadili mfumo wake wote iwe digitalized.kama hilo linashindikana basi shirika la posta LIFUTWE maana linaharibu tu pesa za walipa kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeharibu miti mingapi kwa karatasi zote za maombi.. unaturidisha nyuma mkuu
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli Mkuu,scanning ni sh 1000 kwa kila kopi,x4 =4000,kufungua emails kwa vijijini ni sh 2000 na kituma ni sh 5000 jumla kuu ni sh 11000 so hakuna unafuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa kweli ila graduate wengi wapo mjini. Hizo huduma sio ghali sana. Wengine walisha scan siku nyingi wanazo tu kwenye email na flash....mambo yasiwe mengi. Inawezekana una point
 
Ili kuleta fairness, wale watakaokosa inatakiwa warudishiwe pesa zao, mana naona una mawazo mgando km haujaelimika.
 
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakuvunda halina ubani. Huyu jamaa nishida au janga la kitaifa. Nchi IPO juu chini sikuhizi. Usifikiri kuwa hausiki huyu ni muharibifu wa mambo ogopa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom