Shirika la posta lapoteza 1.2 billion ndani ya siku 18 tu

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
10,427
Reaction score
23,041
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama issue ni kutafuta pesa, bila kujali mnunuaji anapata faida au la kwanini hata tusingekataa mobile phone tukabaki na landline na pia modem hizi wireless tukafuta tubaki na zile connection za wire TTCL ? , nadhani hii kampuni ingefaidika zaidi, kwa manufaa ya nani..., sijui...
 
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ubepari, opportunity kwa expense ya raia, Kwanini usingesema watumie njia ya kiteknolojia km kuscan viambatanisho na kuja na original siku ya interview, dunia inaelekea kupunguza cost we unapendekeza kupanda cost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni janga la Taifa kama mpaka dunia ya leo mtu anawaza mambo ya care off.

Huu ni upuuzi wa kiwango cha Phd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah hii dunia hii,kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
Sio bure,utakuwa mchawi wewe.
Unafikiria kumkamua ng'ombe usiyemlisha!
Habari wapendwa katika bwana,naomba kuwasilisha hoja

Kwa mwezi wa pili tarehe 27/02/2018 serikali kupitia ofisi ya rais -TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu takribani 45,000. Ambapo waombaji walitakiwa kuomba kwa njia ya mtandao.

Watu walipewa siku 18 kuwasilisha maombi yao ,ambapo jumla ya waombaji 91,000 walijitokeza kuwania nafasi hizi,ambapo ikiwa ofisi ya rais-TAMISEMI ingewataka waombaoji kutuma maombi yao kwa njia ya posta ,tuchukulie kila bahasha kwa mfumo wa EMS kulingana na wingi wa viambato kila bahasha ingalighalimu kiasi kisichopungua 11,500 x waombaji 91,000 = 1,046,500,000/= hivyo shirika letu la posta lingepata kiasi hicho cha fedha kwa muda Wa Sikh 18 tu.

Kwa hali hii naiomba serikali yangu kuwa makini katika kukusanya mapato ili kuhakikisha mashirika yetu ya umma yanapiga hatua hivyo kuweza kusonga mbele kimaendeleo.

Ushauri wangu ni kuwa serikali ihimize nyaraka zote za serikali zitumwe kwa njia ya posta ili kuliinua shirika letu kiuchumi
Lakini nashauri wizara ya OR-TAMISEMI na wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuweza kufanikisha hili jambo

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom