Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Dereva akikanyaga mbav za mbwa na akijaribu eithe kushika brake au kuirejesha gari basi hapo utaona gari imeanza kukatika mauno na mwisho wake ni kuzunguka mara kibao. Zile za PSU zimetengenezwa maalumu lakini hizi za kawaida zinakuwa nyepesi sana.

Sina uhakika na unachokisema maana nimeendesha V8(sio yangu, raia hawachelewi kuchonga ngenga humu) lkn sikuwahi kuona hicho ulichokisema.

Na hilo tatizo la hizo v8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
 
Labda hujawahi kuendesha kwenye barabara ya vumbi. Hilo tatizo lipo, tena kama ipo spidi inapaa kabisa. Njia pekee kwa hizi V8 za kawaida ni kwenda mwendo mdogo
 
Mkuu ukiendà speed ndogo ndio unaanguka kifo Cha mende dawa ya raster ni kupita ukiwa mafuta marefu wala huzisikii kabisa, kingine lazima upunguze upepo wa tairi uwe chini ya 25psi, hiyo gari usikute upepo ulikuwa 45psi hutoboi
 
Labda hujawahi kuendesha kwenye barabara ya vumbi. Hilo tatizo lipo, tena kama ipo spidi inapaa kabisa. Njia pekee kwa hizi V8 za kawaida ni kwenda mwendo mdogo

Yaani hayo unayoyasema kwangu ni mageni kabisa,nimeuliza hilo tatizo la hizo V8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
 
Sina uhakika na unachokisema maana nimeendesha V8(sio yangu, raia hawachelewi kuchonga ngenga humu) lkn sikuwahi kuona hicho ulichokisema.

Na hilo tatizo la hizo v8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
Mkuu sie tunakatiza na carina na uko speed hiyo V8 mbona ka naendesha chopper, hiyo gari ilikuwa speed ndogo Sana dereva kajichanganya mwenyewe
 
Mkuu hiyo LC200 haina shida kwani ina double wish born kwa mbele, kuiangusha ni uzembe
Ndio maana sielewi anaongelea V8 gani mkuu.

Labda anachanganya V8 na zile Prado zenye ugonjwa ma ball joints.
 
Mkuu sie tunakatiza na carina na uko speed hiyo V8 mbona ka naendesha chopper, hiyo gari ilikuwa speed ndogo Sana dereva kajichanganya mwenyewe
Daah Aisee kweli mkuu,hayo yote mdau aliyoyasema khs V8 nimeona ni mapya sana kwangu mkuu.
 
Mgombea mwenza wa Lisu Salum Mwalimu apata ajali kitengo cha habari cha Chadema hakitoi habari zake wanamnyanyapaa

Mbona habari tunayo?

Au ulitaka habari itangazwe tbc, channel ten, na Uhuru ndo ujue?
 
Mgombea mwenza wa Lisu Salum Mwalimu apata ajali kitengo cha habari cha Chadema hakitoi habari zake wanamnyanyapaa
Ha ha haaaa..inaonekana hata hiyo clip uliyoiweka hapa wewe mwenyewe haujaisikiliza. Sababu ndani ya hiyo taarifa wanasema kwa "mujibu wa taarifa iliyotolewa na CHADEMA".
Hapo sijui tukusaidieje
 
Weacha uongo gari libiringite mara tano kioo Cha mbele kiendelee kuwa kwenye gari? Hiyo imepiga mshamba tu
 
Ha ha haaaa..inaonekana hata hiyo clip uliyoiweka hapa wewe mwenyewe haujaisikiliza. Sababu ndani ya hiyo taarifa wanasema kwa "mujibu wa taarifa iliyotolewa na CHADEMA".
Hapo sijui tukusaidieje
Hivi Lissu kampa pole kweli? Sijasikia
 
Back
Top Bottom