SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 1,824
- 2,657
Kwa ule upande wa kina Ibinza, Kizumbi na Kitangiri ndio angalau kunaendeleaHata ndembezi imewazidi?

Da nimekumis sana shy.Zamani wasukuma walikuwa wanapita na baiskeli wanatembeza maziwa, mboga, mihogo, kambale, miwa.Kwa ule upande wa kina Ibinza, Kizumbi na Kitangiri ndio angalau kunaendelea
Hahahahaa bata mwenyewe
KabisaMwamba angepima kwanza maana huenda mama alitumia ARV kwa ufasaa ili apunguze uwezekano wa maambukizi kwa baba....
Ungemwambia mh. mungu Rais Magufuli hayo unayoyasema sasa hivi yanayotokea yasingewakuta, mlichekelea mkafurahii, ukipanda mang'ong'osa ndiyo utakayovuna.Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
Hahahaha mie nilikua anti mungu magufuli..so asingeelewaUngemwambia mh. mungu Rais Magufuli hayo unayoyasema sasa hivi yanayotokea yasingewakuta, mlichekelea mkafurahii, ukipanda mang'ong'osa ndiyo utakayovuna.
Hahahahahaha tukisema usiweke mayai yote ktk kapu moja ndio hiiJeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri.
Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba amesema tukio hilo limetokea Mei 3, 2021 katika mtaa wa Dome kata ya Ndembezi.
Amesema mtuhumiwa alimpiga Pili maeneo mbalimbali mwilini na alipobaini amefariki dunia, aliuchukua mwili wake na kwenda kuutupa maeneo ya daraja la Mwagala.
"Baada ya taarifa hiyo mtuhumiwa tulimkamata na kumhoji ambapo jana alionyesha alipoutelekeza mwili wa marehemu maeneo ya Mwagala darajani.”
“Baada ya kuhojiwa alibainisha kuwa alimpiga kwa ngumi chanzo kikiwa ni mtuhumiwa kumbaini mkewe anatumia dawa ARV kwa kificho jambo lililomkasirisha na pia alisema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara,” amesema kamanda huyo.
Amesema mwili ulikutwa ukiwa umeharibika na ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Chanzo: Mwananchi
Utaratibu Ilikuwa Mwanamke akienda Clinic Kupima anaambiwa aende na Mume wake. Ikawa wanaume hatuendi kupima tunamsubiria mwanamke apime Kisha tujue kupitia yeye kama tupo swafi au la.Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri.
Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba amesema tukio hilo limetokea Mei 3, 2021 katika mtaa wa Dome kata ya Ndembezi.
Amesema mtuhumiwa alimpiga Pili maeneo mbalimbali mwilini na alipobaini amefariki dunia, aliuchukua mwili wake na kwenda kuutupa maeneo ya daraja la Mwagala.
"Baada ya taarifa hiyo mtuhumiwa tulimkamata na kumhoji ambapo jana alionyesha alipoutelekeza mwili wa marehemu maeneo ya Mwagala darajani.”
“Baada ya kuhojiwa alibainisha kuwa alimpiga kwa ngumi chanzo kikiwa ni mtuhumiwa kumbaini mkewe anatumia dawa ARV kwa kificho jambo lililomkasirisha na pia alisema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara,” amesema kamanda huyo.
Amesema mwili ulikutwa ukiwa umeharibika na ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Chanzo: Mwananchi
Swali Ni mwanamke Katoa wapi HIV? Ukute jamaa hajachepukaga kabisa na hakuwa na HIV wakati wanakutana mwanzo. Hizi kesi Ni nyingi Sana watu wanavumiliana tuu! Angalia Sana nyumba ambazo zina mtoto 1 ana miaka tano Hana Mdogo wake. Hapo Kuna HIV case asilimia kubwa.Mwamba angepima kwanza maana huenda mama alitumia ARV kwa ufasaa ili apunguze uwezekano wa maambukizi kwa baba....
😂😂😂😂Unaanzaje kumpiga mwanamke? Mwanamke ni kama bata tu, unaweza kumpiga hata kofi akafa.
Jirani...Ibinzamata Shinyanga!
Mitumbani??Ngokolo moja
Aiseeee !!Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri.
Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba amesema tukio hilo limetokea Mei 3, 2021 katika mtaa wa Dome kata ya Ndembezi.
Amesema mtuhumiwa alimpiga Pili maeneo mbalimbali mwilini na alipobaini amefariki dunia, aliuchukua mwili wake na kwenda kuutupa maeneo ya daraja la Mwagala.
"Baada ya taarifa hiyo mtuhumiwa tulimkamata na kumhoji ambapo jana alionyesha alipoutelekeza mwili wa marehemu maeneo ya Mwagala darajani.”
“Baada ya kuhojiwa alibainisha kuwa alimpiga kwa ngumi chanzo kikiwa ni mtuhumiwa kumbaini mkewe anatumia dawa ARV kwa kificho jambo lililomkasirisha na pia alisema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara,” amesema kamanda huyo.
Amesema mwili ulikutwa ukiwa umeharibika na ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Chanzo: Mwananchi
Mlaumuni jamaa wa chato kwa kuwachonganisha.Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
DuH! Ukute aliambiwa ukitumia ARV zinaongeza ukubwa wa makalio au unakua mweupe! Maana huu ndio ugonjwa wa watu wa huko, sijataja Wasukuma