Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

Mjinga huyo. alipaswa kwenda kupima kama na yeye kaambukizwa ama vipi.
 
Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!

Ukabila ni sumu!
Ungemwambia mh. mungu Rais Magufuli hayo unayoyasema sasa hivi yanayotokea yasingewakuta, mlichekelea mkafurahii, ukipanda mang'ong'osa ndiyo utakayovuna.
 
Hahahaha mie nilikua anti mungu magufuli..so asingeelewa
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri.

Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba amesema tukio hilo limetokea Mei 3, 2021 katika mtaa wa Dome kata ya Ndembezi.

Amesema mtuhumiwa alimpiga Pili maeneo mbalimbali mwilini na alipobaini amefariki dunia, aliuchukua mwili wake na kwenda kuutupa maeneo ya daraja la Mwagala.

"Baada ya taarifa hiyo mtuhumiwa tulimkamata na kumhoji ambapo jana alionyesha alipoutelekeza mwili wa marehemu maeneo ya Mwagala darajani.”

“Baada ya kuhojiwa alibainisha kuwa alimpiga kwa ngumi chanzo kikiwa ni mtuhumiwa kumbaini mkewe anatumia dawa ARV kwa kificho jambo lililomkasirisha na pia alisema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara,” amesema kamanda huyo.

Amesema mwili ulikutwa ukiwa umeharibika na ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Chanzo: Mwananchi
Hahahahahaha tukisema usiweke mayai yote ktk kapu moja ndio hii
 
Utaratibu Ilikuwa Mwanamke akienda Clinic Kupima anaambiwa aende na Mume wake. Ikawa wanaume hatuendi kupima tunamsubiria mwanamke apime Kisha tujue kupitia yeye kama tupo swafi au la.

Wanawake walianza kukodi wanaume lakini baadae ikaonekana tabu sababu aliyekodiwa anakuwa anapatiwa Siri asiyoweza itunza.

Baadaye ikawa wahudumu wa clinic wanawapima wanawake hivyo hivyo bila Mwanaume kuhusika. Wanamuambia mwanamke "we pima ujue hali yako yawezekana mwenzio anajijua na anakula dawa huku hujui." Basi unakuta mwanamke anapima na akikutwa na HIV/VVU anaanza kumeza tembe chap. Wahudumu wamefikia hatua wanawaambia wanawake wasiwajulishe wenzi wao maana yaweza kuwa ni wazima wasijeachwa Bure (endapo mwanamke alichepuka).

I am writing with experience.
Wakati mmoja wa wanawake niliozaa nao nimekuta Ana ARV nilistuka Sana nilipanic lakini namshukuru Mungu alinijalia ujasiri. Nikawapigia simu wapenzi wangu wawili wengine niliozaa nao nikitaka kujua hali zao wakasema wako poa. Nikaenda kupima nikakutwa poa. Imagine nimekuwa nafanya naye mapenzi kwa nyakati tofauti kwa miaka minne na Yeye kadi yake ilikuwa na miaka mitatu wakati huo. Miaka mitatu pia Ni Umri wa mtoto wangu niliyezaa naye. Alikula kwa siri eti kwa kuogopa kutokunipa pressure. Hajui HIV kapataje. Lakn alivyoendaga clinic aliniambia yupo poa kabisa. Mie naendelea naye kwa ajili ya huyo mwanangu(namshukuru Mungu kwa huruma yake ndani yangu na Moyo wa Upendo) situmii Kondomu maana anatumia dawa Vizuri na sipigi mechi ya kibabe kwake maana ninao Hao wapenzi wengine pia.

Wanaume Hakikisheni Mnapima HIV mkiwa pamoja na Wenzi wenu.
1. Yawezekana Anavyo huku wewe huna lakini baadae ukapata endapo Viral Load yake itaongezeka Sana huku wewe huna kinga Yeyote.
2. Yawezekana Unavyo yeye Hana hivyo utamlinda.
3. Yawezekana Wote mnavyo hivyo mtasameheana na kulindana na kulinda wengine.
 
Mwamba angepima kwanza maana huenda mama alitumia ARV kwa ufasaa ili apunguze uwezekano wa maambukizi kwa baba....
Swali Ni mwanamke Katoa wapi HIV? Ukute jamaa hajachepukaga kabisa na hakuwa na HIV wakati wanakutana mwanzo. Hizi kesi Ni nyingi Sana watu wanavumiliana tuu! Angalia Sana nyumba ambazo zina mtoto 1 ana miaka tano Hana Mdogo wake. Hapo Kuna HIV case asilimia kubwa.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia, Peter Elias (29) mkazi wa Ndembezi mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Luhende akimtuhumu kutumia dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) kwa siri.

Akizungumza Ijumaa Mei 7, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Debora Magiligimba amesema tukio hilo limetokea Mei 3, 2021 katika mtaa wa Dome kata ya Ndembezi.

Amesema mtuhumiwa alimpiga Pili maeneo mbalimbali mwilini na alipobaini amefariki dunia, aliuchukua mwili wake na kwenda kuutupa maeneo ya daraja la Mwagala.

"Baada ya taarifa hiyo mtuhumiwa tulimkamata na kumhoji ambapo jana alionyesha alipoutelekeza mwili wa marehemu maeneo ya Mwagala darajani.”

“Baada ya kuhojiwa alibainisha kuwa alimpiga kwa ngumi chanzo kikiwa ni mtuhumiwa kumbaini mkewe anatumia dawa ARV kwa kificho jambo lililomkasirisha na pia alisema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara,” amesema kamanda huyo.

Amesema mwili ulikutwa ukiwa umeharibika na ulikabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Chanzo: Mwananchi
Aiseeee !!
 
Kuna kesi moja marekani jamaa alikuwa na now na mchepuko, mchepuko alikuwa anatumia dawa mahusiano yakaendelea gemu bila kinga. Mchepuko akaona hakuna haja ya siri tena aka confess kwa jamaa. Jamaa alishikwa na hasira alimpiga huyo mwanamke mpaka akafa. Jamaa alikamatwa. Alifungwa ila baadae kupima yupo negative. Saa nyengine hasira hasara
 
Kina mama wengi hujua hali zao sababu ni wepesi kupima au wakati wa ujauzito. Huwa akishajua ni positive anaogopa kumwambia mwenzi wake. Hizi case ni nyingi sana, from experience. Haimaanishi yeye ndio kauleta
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom