ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Tunduma umeiacha wapi kwa hivyo vigezo hapo juu vinavyoihusu Kahama?Tabora haiwezi kuifikia kahama mkuu.
Ndo maana sikutaka kuizungumzia japo iko ndani ya shinyanga.
Maana kwa Tanzania nzima ni mikoa michache sana inayoweza kuifikia kahama kwa mzunguko wa pesa. Huduma zote za kijamii kumbuka kuwa kahama ndo wilaya pekee yenye matawi ya bank zote kubwa hapa Tz pamoja na mabasi ya kwenda kila mkoa na nchi jirani pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unaubaguzituSijawahi kufika Tabora kabisa..Ila nachelea kusema Shinyanga ndio safiii!!!
Hata sababu Sina!!!
Typed Using KIDOLE
Nilikuwepo juzi yaani hata gharama za maisha kwa mgeni ni rahisi hasa kama upo kwa sababu maalumu, yaani niliuma bodaboda kutoka pale Ushirika kuingia mjini kati ndani kidogo yaani kuna kaumbali kidogo yaani nimetoa buku 5 nikarudishiwa buku 4 wakati kisaikolojia nilikuwa nimejiandaa kuambiwa buku 2Sababu wanalala mapema,saa moja unusu,kuondoa stendi pale mjini Kati kumechangia kuua mji wa shinyanga ,hakunaga Tena amsha amsha Kama zamani,
Well said,Shy ina hasara imeshamezwa na Mwanza,Kahama na Bariadi/Maswa yaani kitu pekee wamebaki nacho ni ardhi tambarare ya viwandaTabora ni pazuri by far, gata population tabora mjini ni watu around 230,000 wakati shinyanga mjini ni 170,000.
Mji wa Tabora ni mkubwa kuliko mji wa Shy, tatizo la Tabora mjini ni huo uislam ambao ndio unaleta uswahili.
Of course ugomvi wa serkali na makampuni ya tumbaku utapunguza sana mzunguko wa hela pale mjini, kwani wakulima wa tumbaku, japo ni kwa msimu, ni watu wanaoongeza sana mzunguko wa pesa.
Future ya baora pia ni bright, barabara ya kwenda itigi ikiisha, barabara ya kwenda kigoma na mpanda nazo zikiwa na lami, na bado barabara ya kutoka mbeya ambayo itachelewa sana kuwa lami yote, tabora patabadilika na kuwa hub ya huo ukanda
Shinyanga hapawezi kukua kwa kasi ya tabora, tayari pameshamezwa na kahama na watu wa pale wanategema sana kahama na mwanza kwa mahitaji, wafanyabiashara wa kati wa shinyanga wanapakimbia, wengi wamekimbilia igunga na tabora mjini.
Watu wa tabora soko lao kubwa ni tabora mjini, so biashara za tabora mjini zina uwezo wa kukua haraka kuliko shy, shinyanga watu wanaenda kahama, bariadi na mwanza.
Kwa hali ya hewa tabora ni better kiliko shinyanga, shida ya maji soon itakwisha mara maji ya lake victoria yatakapofika hapo.
Kama unafkkiria biashara, au kuishi, i d advise you kwenda tabora, you wont regret
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadithi za kufikirika,eti roho ya umaskini...nyie ndo mnaua albino..kwamba Tabora hakuna makazi yenye hadhi kama huko kwingine na kama yapo wanaojenga wametoa wapi pesa?Sikubaliani na wewe, labda kwa sababu huijui Tabora. Ukweli ni kwamba mji wa Tabora ni mkubwa kuliko Shinyanga na unaendelea kupanuka kwa kasi. Tatizo la Tabora ni kujengwa sehemu yenye majimaji mvua ikinyesha hutapatamani. Ule mji kuna roho ya umaskini ndio maana hakuna tajiri anayefamika nchini kwamba ni wa Tabora. Wakazi wengi wa Tabora ni watu wa kawaida. Ule mji hauna mzunguko wa fedha ni kama kijiji cha maendeleao tu. Kama wewe una mtaji wako na unataka ukawekeze Tabora nakupa pole kwa sababu hautapiga hatua kamwe maana pale pana roho ya umaskini !
Shinyanga ni mji mdogo kwa Tabora ila una baadhi ya watu wenye uwezo mkubwa kuliko Tabora na pale shughuli za kiuchumi ni zaidi ya Tabora ndio maana kuna viwanda vingi pale kuliko Tabora. Kwa ujumla Shinyanga kuna roho ya utajiri kama ilvyo maeneo yote ya usukumani.
Ardhi ya Shinyanga ina rutuba kuliko ile ya Tabora ambayo ni kichanga tu. Pale Sginyanga watu wanawekeza na ni rahisi kutajirika kuliko Tabora. Unaweza ukalima mpunga vijiji na ndengu yote ni mazao yanauoingiza pesa ndefu. Ndio maana Mji wa Igunga unapiga hatua kwa sababu mazingira yake yanafanana na Shinyanga kwa kuwa na mbuga zenye rutuba kuliko hicho kichanga cha Tabora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shinyanga sehemu gani ni kame?
Au ulikuwa umepitiwa ukadhani Igunga ni Shinyanga?
Kati ya shinyanga town na tabora town wapi papo populated zaidi?
Rudi kwenye kudesa upya mkuu,Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Pesa Tabora ni Urambo na Kaliua hizo nyingine zinafuatia,pitia tu takwimu za halmashauri husika uone makusanyo ya NdaniWatu wanaozungumzia mzunguko wa pesa kwenye hii mikoa wanachanganya madesa bila kuwa na uelewa au utafiti wa hali ilivyo kwenye hii mikoa.
Hii mikoa kuna baadhi ya wilaya zina mzunguko wa hela mkubwa kuliko wilaya zingine sababu ziko wazi sana.
Mathalani Tabora wilaya za Nzega na Igunga zina mzunguko mkubwa wa pesa ukilinganisha na wilaya zingine kama urambo, sikonge na Kaliua sababu kubwa ni kuwa wilaya hizo mbili ziko kwenye barabara kuu ya kwenda Mwanza hivyo mwingiliano wa watu ni mkubwa ukilinganisha na wilaya zingine.
Kahama inabebwa na sababu mbili 1 uwepo wa dhahabu 2 kuwepo kwenye barabara kuu inayounganisha Tanzania Rwanda na Burundi do you expect this place to be idle?
Sehemu nyingi zenye wasukuma wengi mzunguko wa pesa lazima uwepo sababu zipo nyingi.
1 Wasukuma wanazaliana sana hivyo population unachangia consumption ya huduma mbali mbali
2 Purchasing power ya wasukuma ni kubwa sana hasa ukizingatia kuwa ni wazalishaji wazuri wa mazao mbali mbali na wafugaji wa kila kitu.
Hivyo hata Tabora sehemu yenye wasukuma wengi biashara huchangamka haraka kuliko maeneo ambayo ni wachache.
Wilaya za urambo sikonge na kaliua zimesthirika na mdororo wa zao la tumbaku ambalo lilikuwa likiingiza pesa nyingi sana kwa wakulima hivyo nakubali kwa sasa kwenye wilaya hizi mzunguko wa pesa umepungua kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza cha bati kitoe maana hakipo hapo Shai, kwaulivyo kilaza aliekuambia kila mji hujengwa na viwanda nani?Taa ya kuongozea magari hata kahama ipo wala co ajabu,,,Shinyanga wamewekewa rami sio chin ya 50 kilometres i think,, taa za barabara mpya na bado wanaenderea kuweka, tabora je?
Hebu nitajie viwanda vitatu tu mlivyonavyo huko ubangini?? Shinyanga nirienda napajua na tabora nirishawai kwenda.
Post ya juu naongeza na kiwanda cha bati kirichoko kahama,,,tabora je mnacho??
Nitajie viwanda vitatu jomba!
Na unavyosema shinyanga bei ya ardhi ipo juu kuliko tabora sababu shy pop ipo juu unamaanisha nn?Kwanza utambue kuwa Tabora ni mji mkubwa sana kuulinganisha na Shinyanga tu hivyo population ya mjini ni automatically itakuwa kubwa kulinganisha na Shinyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shy inategemea kahama siyo tbr acha uwongoKwanza cha bati kitoe maana hakipo hapo Shai, kwaulivyo kilaza aliekuambia kila mji hujengwa na viwanda nani?
Mbona sasa nyie mmezidiwa na wilaya yenu ambayo viwanda ni vidogo kahama.
Haya sikia nikwambie unaweza ukawa na viwanda ila mzunguko wa pesa ukawa ziro unategemea utaenda wapi.
Tabora hakuna viwanda vingi lakini mbona mji mzuri, maisha yapo fresh sana, vyakula vingi sana nanyie ni mashahidi maana bila kuja kununua huku hamuwezi survive sababu unaijua kuwa shinyanga palisha kuwa Sahara, haya pamoja na kuwa Shinyanga ipo kanda ya ziwa lakini pakame kinoma na sababu niileile ya ukataji miti.
Sasa kama unasema barabara hamsini wakati wenzio hakuna barabara ya vumbi town. Kama ukisikia Toronto jua Tabora {mboka manyema}.
Hakuna viwanda lakini patamu kinyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote umeongea point kasoro udini.Tabora ni pazuri by far, gata population tabora mjini ni watu around 230,000 wakati shinyanga mjini ni 170,000.
Mji wa Tabora ni mkubwa kuliko mji wa Shy, tatizo la Tabora mjini ni huo uislam ambao ndio unaleta uswahili.
Of course ugomvi wa serkali na makampuni ya tumbaku utapunguza sana mzunguko wa hela pale mjini, kwani wakulima wa tumbaku, japo ni kwa msimu, ni watu wanaoongeza sana mzunguko wa pesa.
Future ya baora pia ni bright, barabara ya kwenda itigi ikiisha, barabara ya kwenda kigoma na mpanda nazo zikiwa na lami, na bado barabara ya kutoka mbeya ambayo itachelewa sana kuwa lami yote, tabora patabadilika na kuwa hub ya huo ukanda
Shinyanga hapawezi kukua kwa kasi ya tabora, tayari pameshamezwa na kahama na watu wa pale wanategema sana kahama na mwanza kwa mahitaji, wafanyabiashara wa kati wa shinyanga wanapakimbia, wengi wamekimbilia igunga na tabora mjini.
Watu wa tabora soko lao kubwa ni tabora mjini, so biashara za tabora mjini zina uwezo wa kukua haraka kuliko shy, shinyanga watu wanaenda kahama, bariadi na mwanza.
Kwa hali ya hewa tabora ni better kiliko shinyanga, shida ya maji soon itakwisha mara maji ya lake victoria yatakapofika hapo.
Kama unafkkiria biashara, au kuishi, i d advise you kwenda tabora, you wont regret
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni ndugu hivyo hawawezi kuwa watani.Kivipi mkuu? Hebu dadavua nikupate.
Jamaa anahahaMada ni tabora mjini na shy town achana na kahama na mwadui
Sasa mbona mnahama kutwa utafikiri wakimbizi mnakimbia nini?Sikubaliani na wewe, labda kwa sababu huijui Tabora. Ukweli ni kwamba mji wa Tabora ni mkubwa kuliko Shinyanga na unaendelea kupanuka kwa kasi. Tatizo la Tabora ni kujengwa sehemu yenye majimaji mvua ikinyesha hutapatamani. Ule mji kuna roho ya umaskini ndio maana hakuna tajiri anayefamika nchini kwamba ni wa Tabora. Wakazi wengi wa Tabora ni watu wa kawaida. Ule mji hauna mzunguko wa fedha ni kama kijiji cha maendeleao tu. Kama wewe una mtaji wako na unataka ukawekeze Tabora nakupa pole kwa sababu hautapiga hatua kamwe maana pale pana roho ya umaskini !
Shinyanga ni mji mdogo kwa Tabora ila una baadhi ya watu wenye uwezo mkubwa kuliko Tabora na pale shughuli za kiuchumi ni zaidi ya Tabora ndio maana kuna viwanda vingi pale kuliko Tabora. Kwa ujumla Shinyanga kuna roho ya utajiri kama ilvyo maeneo yote ya usukumani.
Ardhi ya Shinyanga ina rutuba kuliko ile ya Tabora ambayo ni kichanga tu. Pale Sginyanga watu wanawekeza na ni rahisi kutajirika kuliko Tabora. Unaweza ukalima mpunga vijiji na ndengu yote ni mazao yanauoingiza pesa ndefu. Ndio maana Mji wa Igunga unapiga hatua kwa sababu mazingira yake yanafanana na Shinyanga kwa kuwa na mbuga zenye rutuba kuliko hicho kichanga cha Tabora.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahhhahaaRami = Lami
Virevire= vile vile
Zahabu = dhahabu
Msituharibie lugha nyie wasukuma
Mwanaisungu siku hizi panaitwa Royal Club na Meya bado ipo tena zipo mbili siku hizi.Hapo tabora mwanaisungwi bado ipo? Meya ice cream nae.
Wapewe elimu aisee ni janga la Kitaifa kwanza wanazaa jumamosi na jumapili. Niwengi mpaka wanataka kumeza mkoa wa Katavi.Kuna wakati nilikua Karema, moja kati ya sehemu wamapolima Sana mpunga na mahindi na hawatumii mbolea
Nikakuta jamaa wameshaingia na mifugo yao, wamepaharibu sana
Mbona unahama point.Bila nzega Tabora ni kichaka.... Nzega inaunganisha Tabora na dunia.