Shinyanga: Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi atembelea mnada wa ng'ombe wa Old Shy

5 na 12 nani mkweli
Hizi hapa mkuu kura zake huyo ndugu yako Katambi! Kumbe nilikuwa nimempendelea hata kwenye idadi ya kura😁😁😁😂😂😂
1.Stephen Julius Masele - kura 152
2.Jonathan Manyama Ifunda - kura 65
3.Gasper Kileo - kura 51

4.Erasto Kwilasa amepata kura 31
5. Mayunga Stanley Otto kura 20
6. Seni Abdallah Jacobo kura 17,
7. Patrobas Katambi amepata kura kura 12,
8.Busumabu Daudi kura 11
9.Mapesa Marco kura 8
10.Alex Peter -5
11. Singu Andrew Stephen- 5
12.Makune Soso - 5
 
Hizi hapa mkuu kura zake huyo ndugu yako Katambi! Kumbe nilikuwa nimempendelea hata kwenye idadi ya kura😁😁😁😂😂😂
1.Stephen Julius Masele - kura 152
2.Jonathan Manyama Ifunda - kura 65
3.Gasper Kileo - kura 51

4.Erasto Kwilasa amepata kura 31
5. Mayunga Stanley Otto kura 20
6. Seni Abdallah Jacobo kura 17,
7. Patrobas Katambi amepata kura kura 12,
8.Busumabu Daudi kura 11
9.Mapesa Marco kura 8
10.Alex Peter -5
11. Singu Andrew Stephen- 5
12.Makune Soso - 5
Akiitisha mkutano wa hadhara wananchi wanatoka?
Ndani ya CCM kulikuwa na wizi,kumbe nje ya ccm ilikuwa chukua weka waaaaa
 
Back
Top Bottom