Na hili ni pigo baya sana kwa ccm na vibaraka wake. Wamesababisha wananchi wa kata husika wamekosa uwakilishi kwa siasa za hadaa na ghiriba.
Waliasi? Si mlisema walikuwa wameshafukuzwa muda mrefu na hamuwatambui?
....
.....Chadema ni Mpango wa Mungu daimashetani hataweza !!!!
![]()
![]()
....ccm ilishakufa bora melitambua hilo !!!
Chadema ingewafukuzia mbali..
Hawa madiwani ni wasanii sana kesho utasikia wamekwenda NCCR Mageuzi, oil chafu inatumika tena njaa mbaya sana.
Hivi mkutano mkubwa kama huu ulihutubiwa na dr au kiongoz wa kawaida? Alafu hawa watu hawajasombwa kwa malori kama ccvm. Kwel nawaambia ccm someni alama za nyakati
Mkuu.
Vipi na wale walio waahidi mafurushi ya fedha halafu wakawapa hela bandia huku wakiwaandalia mazingira ya kwenda kwenye ile Alliance for Cowards and Traitors?
Zamani CHADEMA isingewasamehe 'wasaliti' hawa
naona now imeanza 'kunywea' na inatumia 'diplomacy' kutatua matatizo...
if only ........
cc Pasco