Shindano: Mr. Yahaya wa jf

sosoliso si unaona hata Nivea anakusema kuwa wewe ni yahaya na hujulikani unaishi wapi
Angalia Mkeo Paloma asichape mwendo utakaposhindwa kumhakikishia kuwa unapokaa ni kwako
 
Last edited by a moderator:
sosoliso si unaona hata Nivea anakusema kuwa wewe ni yahaya na hujulikani unaishi wapi
Angalia Mkeo Paloma asichape mwendo utakaposhindwa kumhakikishia kuwa unapokaa ni kwako

Achana na Nivea huyo.. Ananitolea mimate kama fisi alieuona mkono wa binaadam akawa anaufuata akidhani utadondoka.. Haya yote majaribu Mr Rocky.. Mie ninakaa mwembekiuno na Mjumbe wangu wa nyumba kumi anaitwa Ndumbekwa kapu la ubaya halina shukrani..
 
Last edited by a moderator:
unashangaa nini wewe yahaya najua mpaka kitanda no. Sasa mtamuitaje yahaya .

Nimekoma. naweza kuwa nafanya masihara kumbe kweli. Manake bazazi KakaKiiza akili zake anazijua mwenyewe. Akitongoza huwa hakataliwagi.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani simo kwenye list. Hakuna babu kikongwe mwenye sifa za Yahaya. Njoo shambani kwangu Mabwepande tuvune matango.

Mabwepande+ @Aspirin = Ulimboka+Yahaya, hii haiwezi kuwa na ukweli?
 
NDIO!
:hatari::hatari::shetani::shetani::bange::bange:
Ila nipe kwanza lyrics za huo wimbo ili niweze kumtambua vema yahaya!
BAK amekula kona, asije akaingizwa kwenye list, kaka Njoo hapa utupe lyrics za songi la Yahaya liturahisishie tournament
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa KakaKiiza mpk sasa anaongoza ligi kuu ya mayahaya
it smell fiishy in this fwact inawezekana namtetea bazazi hapa ,jana alisema mwanaume ni kama bahari wewe unachunga mtu asivue cocobeach wengine wanavua huko ununio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…