Shindano la.....!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa mmoja alikuwa amejipanga foleni katika shindano la kumpata mtu mwenye dick/pen*s ndefu zaidi.Alikuwa ni mtu wa nne kuingia na ndipo alipoikuta rula ya sentimeta 100.Rula ilikuwa imewekwa alama sehemu tatu na wale watu watatu waliomtangulia;23cm,29cm na 35 cm.Jamaa alipojipima urefu wa dick yake akafikisha 40cm,akaanza kushangilia akidhani amewafunika wenzake wote.Msimamizi akamwambia;kijana,wewe umejipima kuanzia mwanzo wa rula(0cm) kwenda mwisho wa rula(100cm) lakini wenzio watatu waliokutangulia wamejipima kuanzia mwisho wa rula(100cm) kurudi mwanzo wa rula(0cm) kwa hiyo wewe huna lolote,kajipange upya.
 
Back
Top Bottom