shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Nivea ukishikwa shikamana, Paloma mwenyewe keshaniletea giza kwa Mr Rocky
na wewe mnyanyase kisawasawa, mujini ni shule.

eti dadad Mamndenyi Paloma anasema mumewe sosoliso ni muaminifu hana mwanamke mwingine zaidi ya yeye akati ananifuata kila siku lunch time ,pia anakataa tukamdhibitishia kuwa jamaa ndani ya gagulo kuna mkufu sio hahiliu ndio kapanika anataka kunipiga mimi
 
Last edited by a moderator:
komaa unataka wakati haujiamini.

eti dadad Mamndenyi Paloma anasema mumewe sosoliso ni muaminifu hana mwanamke mwingine zaidi ya yeye akati ananifuata kila siku lunch time ,pia anakataa tukamdhibitishia kuwa jamaa ndani ya gagulo kuna mkufu sio hahiliu ndio kapanika anataka kunipiga mimi
 
ya nini kupata presha,
wenzio walicheza mchezo wa kibaba na mama zamani
unajuaje labda wanataka kufanya tena.

mie huyu?!?!? walaaa.............naangalia tu watu wanavyojikombagus akwa sosoliso wangu! kisa nampendamie basi ndo wengine nao wanamtaka!!! nashangaa siku zote alikuwa wapi!!!
 
Back
Top Bottom