shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

hahahaaaa eti mkufu!!! Pole weee....unautamani eenh ili ujipimie! Bahati yako mbaya manake huna anayekutaka zaidi ya babu mtambuzi......kwa sosoliso huambulii kitu!!!
babu Mtambuzi khabari yake iliishia pale kempinski kwisha habri yake umemsikia jamvini na khabari zake za '''''mwenye sura hiii'''''''''aje hapa abaeleze ukweli
 
Last edited by a moderator:
babu Mtambuzi khabari yake iliishia pale kempinski kwisha habri yake umemsikia jamvini na khabari zake za '''''mwenye sura hiii'''''''''aje hapa abaeleze ukweli

Nivea bado wewe kuandikwa............subiri tuuuu!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa eti mkufu!!! pole weee....unautamani eenh ili ujipimie! bahati yako mbaya manake huna anayekutaka zaidi ya babu Mtambuzi......kwa sosoliso huambulii kitu!!!

Kumekuchaaaaaaaa.. Madame B gfsonwin Mamndenyi, sweetlady Zinduna King'asti na mashankunku wenzenu njooni mshuhudie timbwili Paloma na Nivea wanagombea bwana!
Kopi: sosoliso ..........jiandae kuanikwa front page jfudaku kesho.... TANMO na Elizabeth Dominic anzeni typesetting pliz store motomoto inakuja,headline "sosoliso kiboko,agonganisha vimwana wa lundenga kempinski".
 
Last edited by a moderator:
nashanga!!! wakati wenye mijihela tumejinyamazia tu!!!

sasa babe niambie ukweli hapa hapa... Nivea ni nani wako?!?!?

Hahahahahaha mbavu zangu mie!!!!!
Kopi: nivea.......unalo hilo
 
Last edited by a moderator:
Copy kwa Paloma na sosoliso.......unalo hilo Paloma,umezidi kupenda hela
babu.jpg

NIMEKUFICHIA SIRI SAN BISHANGA NITATOA PICHA ZETU ZA PAMOJA MOJA MOJA KADRI UNAVYONIUDHI Bishanga
CC: The secretary NAKUHESHIMU SANA SASA NIMECHOKA
 
Last edited by a moderator:
sasa babe niambie ukweli hapa hapa... Nivea ni nani wako?!?!?

mh babe Paloma.. mie mwenyewe cijui Nivea ni nani kwangu.. naona anapiga mashuti huyooo.. unajua enzi zile za kuchezea vifuu tulikuwa tunacheza mchezo wa baba na mama.. mie ndo nilikuwa baba halafu Nivea mama.. inawezekana anaota mpaka sasa.. ila ajue yeye na wote wale.. i belong only to u my Princess Paloma..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom