ha ha ha.. Bishanga inasemekana umemlipa pesa nyingi The secretary ili akutunzie siri.. Sasa kwa taarifa yako kuna watu kadhaa Arushaone na Erickb52 wakiwa miongoni mwao wamepanga kumuiba mtoto na kwenda kumpima vipimo vya kinasaba (DNA) kama kweli ni damu yako.. Hii ni kashfa kubwa iko pending..
Mkuu sosoliso!!!!! Wanitafutia ubaya kwa The secretary? Hilo li ishu lina muhusu Erickb52 na sio mimi.
aje hapa kukanusha mie sijitongozeshi bodi inamwita mwenyewe muulize vizuri kaeni chini mzungumze tuko wangapi????hata mie KakaKiiza wangu aliibiwa humuhumu ndani na mie naiba wa mtu