Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
kwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwwkwi mbon wanshanga!!!tukapunguze?????:dizzy:
kwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwwkwi mbon wanshanga!!!tukapunguze?????:dizzy:
ya nini kupata presha,
wenzio walicheza mchezo wa kibaba na mama zamani
unajuaje labda wanataka kufanya tena.
unamiliki nini paloma mpaka sasa au unatumika bure
lol mwanamke wewe una maneno ntoe sasa hiyo sket uone.........kaaa nyigu aka dondola!!! Ishu inakuja ukiondoa hiyo sketi yenye lining ya jinja................hahaha
lol mwanamke wewe una maneno ntoe sasa hiyo sket uone
Yamekushinda mara hii
wamonea huruma umemzaa weye.
kwenye bold naomba..kinyume chake..aku...nisijeambiwa mie mkoboaji!!! mtafute kibabu chako kikutoe hilo jinja!!!