shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Eheee hatari!
NINI KIMEKULETA NA WEWE HUMU?????
UNAKUMBUKA ENZI ZETU HIZI TULIPENDANA SANA ILA BASAI TU LET BYGONES BE BYGONES NAKUKUMBUSHIA TU MAPENZI YETU MOTO MOTO
22001%20-%20The%20Married%20Couple%20of%20the%20Year%20Two.jpg
 
haya ndo matatizo ya kuwa desperate.....kakakiiza kakushinda unaanza kumyemelea viso vyako!!!
Utasubiri mia mia tisaaaaaaaaa............
nawatumia tu nawaacha ngoja sasa nifumue siri nzitooooo maana mwaniona mdogo humu
1, Bishanga kanijenga nyumba mbezi
2 sosoliso nina share kwenye campuni yake pale next to twb 50% na amenijengea nyumba maeneo ya kigamboni
3. KakaKiiza huyu nilimpenda bure tu ila amenijengea bwangarooo kule tegeta
chakusikitisha wote hawa hawajanipa hati bado
 
Last edited by a moderator:

ukubwa au udogo sio ishu..........you are still single desparately stealing ozbends!!! shame!!!
 
NINI KIMEKULETA NA WEWE HUMU?????
UNAKUMBUKA ENZI ZETU HIZI TULIPENDANA SANA ILA BASAI TU LET BYGONES BE BYGONES NAKUKUMBUSHIA TU MAPENZI YETU MOTO MOTO
22001%20-%20The%20Married%20Couple%20of%20the%20Year%20Two.jpg

mlikuwa mnapendeza kizamanizamani.........hiyo suruwale ya KakaKiiza sasa.........hahahahaaa na shati lina lace material.kama la mdoli hahahahahahaaaaaaaaa Mamndenyi wamwona Nivea? kumbe kupandisha manyonyo alianza since zen....i wonder yako kwenye shape gani at the moment!!
 
Last edited by a moderator:
NINI KIMEKULETA NA WEWE HUMU?????
UNAKUMBUKA ENZI ZETU HIZI TULIPENDANA SANA ILA BASAI TU LET BYGONES BE BYGONES NAKUKUMBUSHIA TU MAPENZI YETU MOTO MOTO
22001%20-%20The%20Married%20Couple%20of%20the%20Year%20Two.jpg
Sasa kuna kilicho haribika si ku backdate na kuyarudisha yalipo kuwa??au??
 
mlikuwa mnapendeza kizamanizamani.........hiyo suruwale ya KakaKiiza sasa.........hahahahaaa na shati lina lace material.kama la mdoli hahahahahahaaaaaaaaa Mamndenyi wamwona Nivea? kumbe kupandisha manyonyo alianza since zen....i wonder yako kwenye shape gani at the moment!!
Na wewe mdaku umeangalia urefu wa flyz ukafikiria......siyo bwana hayo ni mapigo ya enzi zetu halafu hiyo shati nilikuwa nachezesha mazingaombwe!
 
mlikuwa mnapendeza kizamanizamani.........hiyo suruwale ya kakakiiza sasa.........hahahahaaa na shati lina lace material.kama la mdoli hahahahahahaaaaaaaaa mamndenyi wamwona nivea? Kumbe kupandisha manyonyo alianza since zen....i wonder yako kwenye shape gani at the moment!!
Paloma shost hapo hamna busta hapo,UMEONA HICHO KIUNO CHANGU LAKINI
 
Back
Top Bottom