Shindano la kumtafuta miss jf (MMU)

Haya mambo ya u miss banah! Lugha gani itatumika sasa kuwauliza maswali?!
Kifaransa hatukihitaji lakini
 
Binafsi napendelea kusema wadada/ wamama wote ni mamiss humu ndani MMU , you are all beautiful ,health, young and Hot . Go Ladies, I love you all. Thanks.

Thank u ....we luv u too. Namsemea na miss chagga ndio maana nmetumia wingi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom