Shindano id mbaya na nzuri jamiiforums

Shindano id mbaya na nzuri jamiiforums

Mamndenyi, wasamehe bure tu, kuna form 4 leaver mmoja aliniuliza eti miti ya chips inalimwa wapi?
Kuna mdada wa Dar alienda Mbeya akaonyeshwa shamba la viazi mviringo.....akaambiwa zile chips mnazokula Dar zinatokana na hili zao........Mdaa akohoji........KWA HIYO HII NDIYO MICHIPSICHIPSI?.....haya mambo yapo Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Naipenda mno ID ya Heaven on earth pamoja na avatar yake..Yani naizimia kikwelikweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom