Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
hivi id ndio nini?
nlijua tu, ukose kuuliza!
hivi id ndio nini?
nlijua tu, ukose kuuliza!
Hiyo id Invisible hataki kuisikia. Jamaa aliwaka sana baada ya kuondolewa hiyo O. mia
alikua anaitwa kifilio sasa hivi anaitwa KIFILI O JamiiForums waliifutilia mbali. miaAnaitwaje sasa hv baada ya kutolewa? Nimecheka balaa. Mh JF balaa. It keep me happy tangu nimeijua na kuamua kujiunga. Stress pembeni. Am happy. Lol

utafiti wangu humu jf umenionyesha kuna id nzuri na nyingine mbaya, mfano id nzuri kwangu mimi ni MADAME B,MADAMEX ,EVELYNE SALT,GASPERY LASWAY,ARABELA,KING KONG,MALIAA, CHARMINGLADY, ARUSHA ONE ,ALLIEN ,LARA1,kwa wenye id mbaya kwangu ni BUJIBUJI,ASAKUTA TUME,MAKALIO YA KIENYEJI,MZIZIMKAVU,MTAMBUZI,ZEDUDUZ,NINGAR,pendekeza na wewe mwana jf tumpate mshindi mwenye id nzuri na mbaya kulizo zote humu jf

Huna akili id ya asakuta same na ya Bujibuji ina ubaya gani
hajanitaja mimi , amemtaja asakuta tume.
Ongeza na zako
ngoja nimsubiri, ila labda anajua maana ya hiyo Asakuta Same.......