Mkuu,
Unamfahamu uliyemjibu hoja lakini?
Kaka ...
Unauza nini nje ya nchi hadi thamani ya shilingi ipande?raisi anapojitahidi kukuza uchumi anakumbana na vikwazo kibao kutoka kwa kina naniiHuu ni msimu wa utalii..Peak Season
FOREX (Dollar) zinaingia kwa wingi
Tulitegemea shillingi iwe imara dhidi ya Dolar ya USA..
Sasa kulikoni, shillingi imeporomoka thamani, ni uchumi kukua?
Tanzania yawa nchi ya 5 duniani kwa uchumi unaokuwa kwa kasi. Kenya ya ngapi?
......Number hazidanganyi...wao wanabaki na propaganda zao kuwa eti watalii wameongezeka
Eti wanapata pesa nyingi kwa kuongeza VAT na concession fee
Wamesahau kuwa Zambia is 2nd Safari country and affordable and best bush safari country ni Zambia
Nenda Livingstone Zambia, tembelea Victoria falls (Kama umefeli Geography hutaelewa)
Sija soma uchumi lakini investment kubwa kubwa tunazo fanya kama ununuzi wa ndege na miradi mbalimbali ndo inayo ondoa pesa kwenye mzunguko while miradi hiyo haina imapact direct kwa muda huunadhani economics inasema :ukipungusa money supply ina maana interest itakuwa juu ili watu waweze kusave zaidi.watu wanapunguza matumizi maana hela hakuna. lakini kwa Tanzania serikali imeondoa nasikia zaidi ya 500b katika mzunguko wa mabenki lakini still effects zake hazijaonekana katika currency yetu....ku control uchumi kuna njia mbili kuu monetary (ku contol hela) na fiscal( hii ni investments na production)....na hizi njia mara njingi zinakuwa na second effect sasa second effect inaweza kuwa kubwa sana na kuharibu maana yote ya kutumia njia hiyo kama vitu kadhaa wa kadhaa havitazingatiwa.serikali inafanya vitu vingi kwa wakati mmoja na hapo ndipo panakuwa pagumu why effect fulani haijatokea kama ilivyotegemewa.
currency yetu inadorora kiukweli kama ukiangalia data za miaka miwili,mitano hata mmoja uliopita utaona kuwa shilling inazidi kushuka.
Mnajidharaulisha sana member wenye mitazamo ya namna hii. Umeanza vyema lakini unatolea mifano kama kwamba wewe site Mtanzania.Number hazidanganyi...wao wanabaki na propaganda zao kuwa eti watalii wameongezeka
Eti wanapata pesa nyingi kwa kuongeza VAT na concession fee
Wamesahau kuwa Zambia is 2nd Safari country and affordable and best bush safari country ni Zambia
Nenda Livingstone Zambia, tembelea Victoria falls (Kama umefeli Geography hutaelewa)
UsdTzs ?? [emoji3][emoji3][emoji3]Kwa wanaofanya forex huu ni utajiri.Nikiangalia hii pips si mchezo.This is opportunity.
Sijui wachumi wa Tanganyika mnapima kwa vigezo gani kujua shilingi inaporomoka na taarifa hizo ni za kwako kwa maoni yako au yanatoka BOT?
Umeona hiyo minor pair.
Taarifa sahihi ni kutoka BoT kunakosemwa na mkuu wa nchi kuna Phd 17 lakini utendaji wake ameutilia shaka?
Sina uhakika kama unaelewa maana ya safaru kuporomoka pia sina uhakika kama unajua ni taratibu na vigezo gani ndivyo vinafanya sarafu kutangazwa kama imeporomokaBro you don't need to hear from BOT for your shilling being derailing or trailing against the USD!
Nenda Banki yoyote au Beuro De Change na hela za Madafu unahitajii kubadilishha upate Dollar ndipo utaajua kama shilingi inapanda au inashuka! Ubishi mwingine ni upuuzi mtupuu!!!!
its true..investment nyingi anazofanya mheshimiwa anasema analipia cash na kama kweli analipia dola 200m+ cash kwa ndege moja ukijumlisha na pesa za bombardier mbili basi na hilo linachangia kuondoa pesa kwenye mzunguko lakini ile ni investment so italipa ni 3-5years. sijui kwann aliamua kulipa cash maana investment kubwa kama hizo hadi nchi zilizoendelea wanalipaga kwa installment so ni ngumu kuamini kuwa kila investment kubwa anayofanya analipia cash maana uchumi hauzalishi kama mwanzoni.Sija soma uchumi lakini investment kubwa kubwa tunazo fanya kama ununuzi wa ndege na miradi mbalimbali ndo inayo ondoa pesa kwenye mzunguko while miradi hiyo haina imapact direct kwa muda huu
Do you have confidence ?
Sina uhakika kama unaelewa maana ya safaru kuporomoka pia sina uhakika kama unajua ni taratibu na vigezo gani ndivyo vinafanya sarafu kutangazwa kama imeporomoka
Wewe unachojua ni kuona exchange rate ya leo dola ya US imepanda then unasema sarafu imeporomoke je ukienda kesho ukakuta exchange rate imebadilika utasema vngne?
asante sana mkuu kwann uchumi wa Tanzania umekua??usafirishaji umekuwa katika sekta gani?mabenki yameongeza mapato?Kwanza umeniuliza uchumi wa Tanganyika unakua ktk sector gani nimekutajia ambazo ni sector za Mabank,Usafirishaji,Utalii na Madini nikakambia ktk sector hizo zinachukua watu wachache sana so kuona impact mpaka kwa mwananchi wa kawaida Manzese ni vigumu sana nikasema kuwa Dunian sector ambayo ni uti wa mgongo wa ukuaji bora wa uchumi ambao kuanzia tajiri mpaka maskini wa mwisho anaweza kufeel kuwa uchumi unakua ni sector ya Viwanda na Kilimo vitu ambavyo Tanganyika bado japo tunaelekea kwenye viwanda
Jambo jingine unalonishangaza msomi wa uchumi kupinga takwimu wakati wanasema takwimu zinapigwa kwa takwimu sawa na tafiti pia takwimu hizo za ukuaji wa 7.2% wa uchumi wa Tanganyika ajazileta mzaramo au CCM ni WB na IMF taasisi ambazo zina majukumu makubwa juu ya uchumi wa dunia
1 kwanza jukumu la kushauri,kusimamia monetary policy dunian ni lao
so nilazima wafanye tatifi ili waweza kufanya kazi yao kwa weledi
2 Tafiti wanafanya kwa ajiri yao yani kwa matumizi yao si ya Tanzania au nchi yeyote so wanaweza kujidanganya wao?
pia WB na IMF ndio wakopeshaji wakubwa kwa nchi karibu zote dunian so ni tazima wawe na takwimu sahihi juu ya uchumi wa nchi fulani mfano wamekupa takwimu za uongo kuwa uchumi wako unakua wakt si kweli then kesho ukaenda kukopa kwao kuna bank yeyote dunian inaweza kumkopesha mtu ambae hawezi kurudisha mkopo????????
3 Dunia nzima utumia takwimu katika kupanga maendeleo,kuleta huduma,kuongeza au kupunguza kitu ,hata ktk mambo ya kibiashara,uchumi ,hospital,sehemu zote zinaitaji takwimu ktk kuendeleza au kuondoa jambo fulani
na ndo maana kila nchi ina taasisi ya Bureau of Statistics
Sasa kama tunasema takwimu zinapikwa kumbuka WB na IMF wanatoa takwimu za mambo ya kiuchumi na maswala ya kifedha duniani si Tanzania au Africa peke yake je na Ulaya au America na wenyewe wanadanganywa kama tunavyodanganywa sisi kwenye takwimu?
Na kama wangekuwa wanadangaya sijawai kusikia kuna nchi ikilalamika juu ya takwimu hzo hata kama report imetoka na ni mbaya kwa nchi hyo juu ya mambo ya uchumi au fedha sasa najiuliza nchi inawanauchumi wake na wanakubali report hata kama ni mbaya au labda wameambiwa uchumi wao umeshuka sana kwa nini wasipinge na kusema uchumi wetu uko vizri kwa kujikosha kwa wananchi wao??
Hoja ya pili juu ya Exchange rate kwanza unatakiwa kujua kuwa sarafu wa marekani imeimarika dhidi ya sarafu zingine si Tsh peke yake uchumi wa US umeimarika sana ktk robo ya mwisho wa mwaka jana uchumi wa US umekuwa ukikua kwa kiwango cha 0.8% kila miezi 3 huku unemployment rate ikiwa ni 5% kutoka 10% mm nadhani niishie hapo
Hata private sector nazo uwekezaji umekuwa mdogo pia ...its true..investment nyingi anazofanya mheshimiwa anasema analipia cash na kama kweli analipia dola 200m+ cash kwa ndege moja ukijumlisha na pesa za bombardier mbili basi na hilo linachangia kuondoa pesa kwenye mzunguko lakini ile ni investment so italipa ni 3-5years. sijui kwann aliamua kulipa cash maana investment kubwa kama hizo hadi nchi zilizoendelea wanalipaga kwa installment so ni ngumu kuamini kuwa kila investment kubwa anayofanya analipia cash maana uchumi hauzalishi kama mwanzoni.
somo la uchumi ni pana sana na kwa Tanzania tulipo kwa muda huu ni ngumu sana kujua effects za tatizo hili la uchumi linatokana na nini haswa....so utakuta kuna hoja zaidi ya ishirini zenye kuleta manufaa kwa taifa lakini vitu vitatu tu vinavyoangusha juhudi zote zilizofanywa.