kama umeshindwa kuelewa exchange rate inaaffect vips
stop ur nonsense....nitajie benki mbili zilizopata faida kubwa kuliko 2015 nakurudi nyuma(kwa kuacha kila kitu kiwe sawa yaani taxation ya mihamala, then angalia defaulters(wadaiwa wapo vipi kuanzia miaka 2 nyuma) na before 2015....kujua terms za economics hazikuweki kuwa analysts wa uchumi...free ur mind kwanza then judge fairly.
watu wanasafirisha nn?huo usafirishaji ukue maana sekta za viwanda haioneshi ukuaji wowote nadhani tafuta quarterly report za BOT(april) alafu angalia jinsi usafirishaji,construction,mabank zilivyoshuka.
mkuu samahani sana sijui labda tumesoma economics tofauti....ulipiga wapi ECONOMICS YAKO..unashindwa ku analyse vitu vidogo namna hii ambavyo havihitaji kukusanya sana data.....nitajie VIWANDA VIWILI VILIVYOTENGENEZA FAIDA KUBWA after 2015 tofauti na before 2015
Kwanza umeniuliza uchumi wa Tanganyika unakua ktk sector gani nimekutajia ambazo ni sector za Mabank,Usafirishaji,Utalii na Madini nikakambia ktk sector hizo zinachukua watu wachache sana so kuona impact mpaka kwa mwananchi wa kawaida Manzese ni vigumu sana nikasema kuwa Dunian sector ambayo ni uti wa mgongo wa ukuaji bora wa uchumi ambao kuanzia tajiri mpaka maskini wa mwisho anaweza kufeel kuwa uchumi unakua ni sector ya Viwanda na Kilimo vitu ambavyo Tanganyika bado japo tunaelekea kwenye viwanda
Jambo jingine unalonishangaza msomi wa uchumi kupinga takwimu wakati wanasema takwimu zinapigwa kwa takwimu sawa na tafiti pia takwimu hizo za ukuaji wa 7.2% wa uchumi wa Tanganyika ajazileta mzaramo au CCM ni WB na IMF taasisi ambazo zina majukumu makubwa juu ya uchumi wa dunia
1 kwanza jukumu la kushauri,kusimamia monetary policy dunian ni lao
so nilazima wafanye tatifi ili waweza kufanya kazi yao kwa weledi
2 Tafiti wanafanya kwa ajiri yao yani kwa matumizi yao si ya Tanzania au nchi yeyote so wanaweza kujidanganya wao?
pia WB na IMF ndio wakopeshaji wakubwa kwa nchi karibu zote dunian so ni tazima wawe na takwimu sahihi juu ya uchumi wa nchi fulani mfano wamekupa takwimu za uongo kuwa uchumi wako unakua wakt si kweli then kesho ukaenda kukopa kwao kuna bank yeyote dunian inaweza kumkopesha mtu ambae hawezi kurudisha mkopo????????
3 Dunia nzima utumia takwimu katika kupanga maendeleo,kuleta huduma,kuongeza au kupunguza kitu ,hata ktk mambo ya kibiashara,uchumi ,hospital,sehemu zote zinaitaji takwimu ktk kuendeleza au kuondoa jambo fulani
na ndo maana kila nchi ina taasisi ya Bureau of Statistics
Sasa kama tunasema takwimu zinapikwa kumbuka WB na IMF wanatoa takwimu za mambo ya kiuchumi na maswala ya kifedha duniani si Tanzania au Africa peke yake je na Ulaya au America na wenyewe wanadanganywa kama tunavyodanganywa sisi kwenye takwimu?
Na kama wangekuwa wanadangaya sijawai kusikia kuna nchi ikilalamika juu ya takwimu hzo hata kama report imetoka na ni mbaya kwa nchi hyo juu ya mambo ya uchumi au fedha sasa najiuliza nchi inawanauchumi wake na wanakubali report hata kama ni mbaya au labda wameambiwa uchumi wao umeshuka sana kwa nini wasipinge na kusema uchumi wetu uko vizri kwa kujikosha kwa wananchi wao??
Hoja ya pili juu ya Exchange rate kwanza unatakiwa kujua kuwa sarafu wa marekani imeimarika dhidi ya sarafu zingine si Tsh peke yake uchumi wa US umeimarika sana ktk robo ya mwisho wa mwaka jana uchumi wa US umekuwa ukikua kwa kiwango cha 0.8% kila miezi 3 huku unemployment rate ikiwa ni 5% kutoka 10% mm nadhani niishie hapo