sibusiso dlomo
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 691
- 386
nadhani economics inasema :ukipungusa money supply ina maana interest itakuwa juu ili watu waweze kusave zaidi.watu wanapunguza matumizi maana hela hakuna. lakini kwa Tanzania serikali imeondoa nasikia zaidi ya 500b katika mzunguko wa mabenki lakini still effects zake hazijaonekana katika currency yetu....ku control uchumi kuna njia mbili kuu monetary (ku contol hela) na fiscal( hii ni investments na production)....na hizi njia mara njingi zinakuwa na second effect sasa second effect inaweza kuwa kubwa sana na kuharibu maana yote ya kutumia njia hiyo kama vitu kadhaa wa kadhaa havitazingatiwa.serikali inafanya vitu vingi kwa wakati mmoja na hapo ndipo panakuwa pagumu why effect fulani haijatokea kama ilivyotegemewa.Ongea na wachumi upate Elimu, why Tsh drops value, if your statement is correct.
Ziko factors nyingi zinaweza kusababisha.
Najua moyoni unafuraha Sana na hii taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
currency yetu inadorora kiukweli kama ukiangalia data za miaka miwili,mitano hata mmoja uliopita utaona kuwa shilling inazidi kushuka.