Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka

Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka

Ndugu uu mzima kweli wewe? umeangalia exchange rate ya BoT au unakurupuka tu kama uharo? huna data usiongee!

BOT ndio inatoa leseni na kucontrol Bureau De change zote....Nenda bureau De change yeyote....Huna hata nauli ya kufika mjini?
 
Ninaangalia kila siku ndio maana nimemjibu ivyo.
Ingia apo achana na unyumbu www.bot.go.tz


Wewe ni Inzi wa kijani kweli...KWANI hiyo exchange rate hapo BOT mwezi huu ni sawa na January Mwaka huu

Ni sawa na 2015 alivyoingia madarakani?
 
Wewe ni Inzi wa kijani kweli...KWANI hiyo exchange rate hapo BOT mwezi huu ni sawa na January Mwaka huu

Ni sawa na 2015 alivyoingia madarakani?
Wewe pimbi fungua iyo link nimekutumia uone kuanzia mwaka 2009 mpaka Leo tarehe 21.08.2017 uone pesa ya Tanzania ilivyokuwa inaporomoka kipindi cha Mh. Kikwete alafu ulinganishe na kuanzia November 2015 alivyoingia Mh. Magufuli. Sio mnakaa kwenye vibanda mnadanganyana nadhani hata demand and supply ya pesa ujui kazi kubishana tuuu. Tumia Economics kwenye kuelewa na sio habari za vijiweni. Uchumi unakuwa tofauti na maisha ya watu wanavyofikiria na ndio maana nchi yetu ina vilaza wengi katika masomo ya maesabu. Kuanzia wana siasa mpaka wasomi hawana uelewa kabisa na maswala ya fedha

Link iyo apo chini
Bank of Tanzania: Financial Markets - Interbank Foreign Exchange Market (IFEM)
 
Kikwete ni Chama gani?

Mlikuwa mnampigia makofi

Heko, uchumi unakua

Tanzania ya Vi wonder
 
Shillingiiii

US $ 1 = 2237 buying...Selling 2245

Kwa hisani ya Wasiojulikana

Uchumi unakua
 
Sijui wachumi wa Tanganyika mnapima kwa vigezo gani kujua shilingi inaporomoka na taarifa hizo ni za kwako kwa maoni yako au yanatoka BOT?
Wewe Lumumba hata hii huoni? Nenda bureau Change uoni acha udenzi basi.
 
Wewe ni Inzi wa kijani kweli...KWANI hiyo exchange rate hapo BOT mwezi huu ni sawa na January Mwaka huu

Ni sawa na 2015 alivyoingia madarakani?
Screenshot_20170813-182922.jpg
 
Back
Top Bottom