Kwa uelewa wangu ni kuwa zzk alishasafishwa na tume ya ngwilizi kuhusu hizo tuhuma sasa kama nawe ulifanya uchunguzi wako ukagundua tofauti weka ushahidi hapa tuujadili...eti stori ya zamani!!!!
Unaweza kunikumbusha nani alishaitoa hii habari kwa public kabla ya zzk?cag kuipeleka bungeni na kufungiwa kabatini ndo justifikesheni unayotumia? We unadhani hiyo issue ya pesa za uswisi ya leoleo?acha ushamba wa kuwafundisha watu waishije na waseme nini na kama unaona hiyo habari ya zamani acha tunaoiona mpya tujadili.just shut up k.a.j.a.m.b.e ulale.
hii kamati iliongozwa na wenye laaana mzee ngwilizi ana laana na alaniwe milele maana alichokuwa nakitetea ni ujinga tena ulio kithiri sana