SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,903
mkereketwa Kobello wa JF uko wapi leo naona umekimbia jamvi
Ndugu Wenge, jiulize Waziri mpya wa wizara husika amekabithiwa wizara hiyo lini, na ukiwa hapo jihakikishie inachukua muda gani kwa mgeni kuifahamu wizara yake yote na kuanza kupanga mikakati mipya. Lawama zinaruhusiwa lakini zitolewe pale ambapo ni sahii. Au unaonaje?Hebu wanajamvi nikumbusheni Wizara hii ni ile aliyotoka Ngeleja halafu akapewa mtu Mongo zaidi na katibu wake sijui Maswi? si ni hawa jamaa miezi michache iliyopita walikuja na porojo kibao kwamba wao wamekuja na muarobaini wa kukosa wa mgao wa umeme? hebu nikumbusheni kama ndiyo niwadharau zaidi kwa kuwa niliwadharau tangu siku ya kwanza walipokuja na majungu badala ya strategies, sasa mambo ni magumu Mgao upo zaidi ya ilivyokuwa siwasikii tena, visingizio vimekwisha? mto ndiyo huo unakauka wako wapi watolee maelezo? kama sikosei niiwasikia wakifoka kama chatu mpaka povu likawatoka mdomoni kwamba hata kuendesha mitambo ya mafuta mazito ni wizi mtupu wao wangeweza kuleta umeme wa mtera bila kutumia hata lita moja ya mafuta, ama ilikuwa kupagawa kupewa uwaziri? tumewazoa hata mkirudi tena tutawataka mujizuru hala nanyi mtakaa kwa hiyo maisha yataendelea rudini tuu mtutake radhi labda tutawapa mawazo mbadala badala ya kukimbia kabisa.
basi kama hawa jamaa ni walewale ninaowafikiria naombeni muwape pole zao, Uwaziri ni kazi kubwa si ya kuropoka.
Ni kweli Mkuu nimewaona vijana wenzangu, ila nawasikitia kwani kinachowapeleka hapo sio mapenzi kwa chama isipokuwa maslahi, ama wanafuata nyayo za wazazi wao ili waendeleze ulaji, picha zinaongea zaidi ya maneno mkuu hembu watazame vizuri hao wadada halafu uniambie ndani ya vikao vya chama wataongea nini cha kumkomboa mkulima wa korosho kule mtwara au pamba kule mwanza, kama sio mipasho na vijembe ili siku ipite na wallet ijae noti jioni waturingishie pale rose garden.
Hii ni kali
Yaani mshikaji alikwenda na sahani ya chama pamoja na dogo kuwai m.......a? au?:shut-mouth:
Hili ni janga la taifaHere we go again. Na Kikwete bado tu hajiuzuru na anajiona ni salama kupita usalama kwakuwa tu analindwa na wanajeshi. Kama watu wanaweza kuiba kiasi kikubwa namna hii cha pesa bila ya rais kujua ni kwa vipi watashindwa kupanga mipango ya kuipindua serikali yake bila ya yeye kujua pia?
inaniuma sana nipo Zambia maisha ni magumu. nahangaika uhamiaji wananiwinda halafu wengine wanakula nchi kiulaini
Kila mtu analalamika, nani wa kuchukua hatua? maana sasa hivi ni vituko tupu..Rais analalamika rushwa imezidi, mahakama wanalalamika, Pinda anahalamika tena yeye hadi huwa analia, wananchi( wana wa nchi) hivi ni nani wa kuchukua hatu?:nimekataainaniuma sana nipo Zambia maisha ni magumu. nahangaika uhamiaji wananiwinda halafu wengine wanakula nchi kiulaini
si kila kitu kinachotoka kwa Zitto lazima tukishabikie na kukiona kama kipya.