Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,636
Hawa jamaa baada ya kuweka entertainment kama lengo No. 1 wao wanalenga pesa.....ndo maana wanazidi kushuka kila siku
hhahahaha aiseee silipendi ili jina basi tu navumiliaMkiitwa wanaume wa dar mnalia lia
Wanaongelea mambo za shilawadu na wewe ze dudu kama upo hivyo ni mwanaume wa darhhahahaha aiseee silipendi ili jina basi tu navumilia
binafsi sijawahi kuangalia icho kipindi ila huwa namsikiliza big chawa kwenye planet bongo nae ana maudhui hayohayo ila ilo jina la wanaume wa dar silipendiWanaongelea mambo za shilawadu na wewe ze dudu kama upo hivyo ni mwanaume wa dar
halafu na wewe ukapata muda wa kuusoma uzi na kutupia neon.nini kimekuleta hukuIfe tu,haina tija yoyote kwa jamii.na kama mleta uzi ni mwanaume inakupasa ujitathmini upya.
Ha ha ha..kwa kweli mimi nilikuwa nasikiaga tu shilawadu shilawadu, na sikuwa najua kinarushwa TV gani hadi pale ile kashfa ya mwanaume anaejiamini kuliko wote hapa Dar alipovamia kwa mitutu ndo nikaipata kuwa kumbe ni Station ile paleee njia panda ya CocacolaMkuuu kipindi pendwa hapa town kwan ujui??????
kuna mwanaume wa mkoani, aliehamia Daslam niliwahi kumshangaa sana eti akipiga sim toka kwenye jumba jeupe pale magogoni akiisifia shilawadu....Wanaongelea mambo za shilawadu na wewe ze dudu kama upo hivyo ni mwanaume wa dar
Duhhh....Anatafuta ukewenza na mimi huyo
Akili kubwa asante sana ka mkubwa kwa kuusema ukweli ni aibu sana mwanaume kuacha kuangalia vitu vya maana na kuangalia umbea ambao hauna miguu SHILAWADU wanafeli sana na skendo zao zisizokuwa na tijashilawadu Ni Mashoga, Mwanaume Rijali Hafuatilii Maisha Ya Mtu Anafuatilia Pesa
wanaume wa ukweli ni wale wanaoangalia kipindi maalumu cha serikali kuhamia Dodoma(tbc) au Le mutuz online tv liveIvi naomba kuuliza, kuna wanaume wanakaa kabisa kukodolea TV macho kuangalia hiki kipindi? mimi huwa nakisikia tu
teh teh teh.....Mkiitwa wanaume wa dar mnalia lia