Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
i c_eeehahahahahaha nipo bhana, nimekuja kushanga magorofa zen faster Mwanza Moja, Shikaamoo Pesa nilikuwa napapenda, kwa ajili ya Pay n peak hahahah...
tabata kwa wala bata...Alhamis watu wanakesha pale Mpumalanga pub,alafu mbele kuna promise pub pale kwa yule mtoto wa kihehe Edita maHips....siku izi ukitaka kumpeleka mtoto dinner hauitaji kwenda masafa kuna Greenlight kama unapenda mauzo.
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lilikuwa chimbo la Walevi wengi.
shikamoo pesa haina jipya nimefika hapo juzi nimeagiza nyama ya mbuzi nimeletewa mifupa mitupu. Nyama yenyewe walikaanga ilihali niliagiza ya kuchoma.
ipo sinza kwa Remiiko maeneo gani huko sinza ili tuhakikishe kinachosemwsa na mleta mada ni kweli au la, mwenye ufahamu tafadhali.
Baa maarufu ya aina yake ambayo inazo sifa Lukuki za matukio yanafanywa na wateja wake IMEFUNGWA, matukio hayo kama ya Umalaya,Ushoga na mengine lukuki yakiwemo ya watu kutoa Bastola na kupiga risasi hewani endapo mtu amefurahi ama kukasirishwa na mteja mwenzake,ama amedharauliwa kwa namna yoyote ile.
Baa hiyo ambao hukesha na kufanya majirani ambao wamekuwa wakijaribu kuifunga/kuipiga vita kugonga mwamba kila wakati.
SABABU ZA KUFUNGWA!
siku ya Jumamosi kuamkia Pasaka kijana Rajabu (Chapombe) aishie jirani na hapo PUA NA MDOMO aligombana na kijana mwingine akaae jirani na hapo ugomvi huo ulitokea usiku wa manane ulimsababisha kijana (Rajab) kujeruhiwa vibaya maeneo ya mbavu na kupelekea kupelekwa Hospital ambapo alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka,Dada wa Marehemu ambaye ana wadhifa Serikalini (Jina linahifadhiwa) alighadhabishwa sana na tukio hilo na kuamuru Mkurugenzi wake Felix (Fix),Meneja wawekwe Mabatini Kiitonyama Police na kupelekea Baa hiyo kufungwa.
HALI ILIVYO SASA.
Nyumba yenye Msiba imeweka Maturbai mpaka kwenye Baa hiyo na kupelekea hisia yanaweza kuwekwa hivyo wiki mbili ili kuhakikisha kila mteja anaye kwenda hapo KUTAHARUKI.
Pole wafiwa,Pole wamiliki kwani lilikuwa chimbo la Walevi wengi.
karibu face pub mkuu......................nyuma ya st marryz pembeni ya georgina bar.
Kumbeee ....yaani ni sawa na kuangalia mechi kali ya mpira wa mguu kwenye tv mwenyewe.
Fafanua vizuri.Owner nasikia alifumaniwa na wife analiwa Kiboga Counter akaanzisha vagi
Ndo hivyoFafanua vizuri.