Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

wakuu wanywaji Nini tofauti ya PUB,BAR,NIGHT CLUB na CASINO?maana naona kila mahali pub
 
karibu face pub mkuu......................nyuma ya st marryz pembeni ya georgina bar.

Face pubbbbb! Kila Jumamosi kuna Mapacha Watatu, ukitaka kunywa bia umekalia kochi ni wewe, ukitaka kukaa kwenye mtumbwi ni wewe tu.

Akudo Ijumaa! Sina uhakika kama wanapiga kila Ijumaa, lakini nilishakuwepo Ijumaa fulani jamaa wakawepo pia, Tabata itakuwa kama Kino siku si nyingi.
 
dah......hahah nimechekaje mchana huu...apana chezea kigogo
 
Ningeshangaaa, sangara upo town??
hahahahahaha nipo bhana, nimekuja kushanga magorofa zen faster Mwanza Moja, Shikaamoo Pesa nilikuwa napapenda, kwa ajili ya Pay n peak hahahah...
 
Naomba nikutajie mkuu, ukishuka kwa Remi kutokea Mwenge, ni upande huo huo. Barabara yake kuna machinga wanauza viatu chini, unaenda nayo kama mita 150 utaona uwazi kuna miti miti ya miembe kushoto, Half London ndo iko hapo kushoto na kuna uwazi.

Aaah nimepafahamu..karibu na kwa mzee wangu kocha abdalah kibadeni
 
JF raha sana dah!!!

wewe acha tu yani kama hizo pub za tabat zoote nimeingia.. Hapa napiga picha wengi wao humu tumekutana sana kwenye chemba za chooni kwenye kukojoa.
 

ndugu Tabata hakunagaa!
 
Imefunguliwa jana na tumekesha kama popo hapo
 
Tatizo la TABATA maji Chumvi. Mtu akienda kunawa sabuni haishiki!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…