Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

Jamani New Shikamoo pesa ndo iko ktk hatua za mwisho za kufunguliwa...hao wazee wa fitina wa mabatini na Diwani wao hawatuwezi...Tajir Freddy anapambana kwa ajili ya wateja( Ema mavogue,suzy ------, tajir Maganga etc)na wafanyakazi wake (mama shughuli,wali nazi,matongee).
 
Tabata bana kuko poa sana dat ni new town....da ukitoka job unapita hai bar kwa wazawa paleee mpaka savoy bar jamani tabata tabata noma si umeshafika dar west inn huyooo mpaka kwa masikio maeneoya tabata shule pale nyumama ya ile hotel...duuu vipi upo wapi bob utasikia tunakungoja walet pub mtambuzi na king'ast wapo paris ok twende zetu italian pub nataka nimbebe papaa msafiri tukamuache hapo texas pub turudi zetu copa cabana na viena usiku tukacheki mpira kwa gerad pale liwiti vp kwa mfojo dar home kwa mamushka kinyerezi napiga horn masai ameshalala hahaha analinda au analala.
 
mmesema dagaa dagaa kuna shisha ya ukweli sio?......

basi wale fan wa shisha tukkamatane hapo jioni

Iko shisha ya ukwel hapa..moshi hewan uko corner ipi mkuu?
 
Shikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee
Hapana...inayotajwa hapa ni shikamoopesa ipo kwa Remmy ..zilizopo pale whiteinn ni shikamoo na marahaba
 
Ha ha ha ha!!!
 
Wakiifunga tutasogea mbele Kuna kiwanja kinaitwa Half London kuna nyapu za kitutsi tupo michongoma wa ukweli unakata pochi unatambaa nayo goma la kinyarwanda chezea Sinza!
 
Unapita na kwetu pazuri pale sanene upge moja halafu kwa mfojo uh tabataaaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakiifunga tutasogea mbele Kuna kiwanja kinaitwa Half London kuna nyapu za kitutsi tupo michongoma wa ukweli unakata pochi unatambaa nayo goma la kinyarwanda chezea Sinza!

Ha ha ha! Nilitaka nishangae hii isitajwe kwenye huu mjadala, hebu nikumbushe ile mishkaki ya utumbo inaitwaje pale?
 
Imefunguliwa rasmi leo...yaani nina kiu vibaya sana kwenda kuwaona asali wangu wali nazi plus suzy....jioni ifike haraka bana
 
Ipo sehemu gani sinza aisee?

ipo Remi nyuma ya halflondon,haina lolote basi tu mjini watu wakiamua kukipamba kitu....kuna muhaya mmoja anakaa hapo jirani karudi na hela zake kutoka uingereza kaimalizia hapo hadi kagari kake mkweche kauza ili haweke heshima,,,so be careful.
 
Wakiifunga tutasogea mbele Kuna kiwanja kinaitwa Half London kuna nyapu za kitutsi tupo michongoma wa ukweli unakata pochi unatambaa nayo goma la kinyarwanda chezea Sinza!

Half london iko api...mi michongoma ndo mambo yangu yaani mtanikuta nyavuni kila dakika...tafadhali naomba ushirikiano wako wa dhati iko wapi ....nitajie na mungu atakulipa kwa hilo
 
Aaaah wakuache wali nazi wangu miaka mia sita na tano......hahaaa maganganmzee wa zengwe mzee wa v .....leo imefunguliwa kwa hiyo leo tuko pale
 
Half london iko api...mi michongoma ndo mambo yangu yaani mtanikuta nyavuni kila dakika...tafadhali naomba ushirikiano wako wa dhati iko wapi ....nitajie na mungu atakulipa kwa hilo

Naomba nikutajie mkuu, ukishuka kwa Remi kutokea Mwenge, ni upande huo huo. Barabara yake kuna machinga wanauza viatu chini, unaenda nayo kama mita 150 utaona uwazi kuna miti miti ya miembe kushoto, Half London ndo iko hapo kushoto na kuna uwazi.
 
Half london iko api...mi michongoma ndo mambo yangu yaani mtanikuta nyavuni kila dakika...tafadhali naomba ushirikiano wako wa dhati iko wapi ....nitajie na mungu atakulipa kwa hilo

palepale nyuma ya shikamoo pesa...kuna mishikaki ya utumbo.
 
Unapita na kwetu pazuri pale sanene upge moja halafu kwa mfojo uh tabataaaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

tabata kwa wala bata...Alhamis watu wanakesha pale Mpumalanga pub,alafu mbele kuna promise pub pale kwa yule mtoto wa kihehe Edita maHips....siku izi ukitaka kumpeleka mtoto dinner hauitaji kwenda masafa kuna Greenlight kama unapenda mauzo.
 
karibu face pub mkuu......................nyuma ya st marryz pembeni ya georgina bar.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…