Hata hiyo ya TIP TOP ni nzuri tatizo ustaarabu wa wateja na eneo lenyewe, maanake unakunywa huku unawazia "side mirror" zako kama bado zipo au zimeshafika Gerezani.Weka facts Baa ipi? sio una-taja maeneo hata Manzese kuna za ukweli kuliko za ulipopataja CHEDHEA SAVANNAH ya TIP TOP?
Karibu kijana
Aiseeeee
Duuuuh... Nipe Mkono nikuvushe barabara.
We jamaa LI-ONGO sana, kama kuna awardsJF za UONGO tunakupatia leo! hupajuiShikamoo pesa na Marahaba zote kwa wasio zifahamu zipo Sinza White Inn opposite na club ya DeFrancee
Hata hiyo ya TIP TOP ni nzuri tatizo ustaarabu wa wateja na eneo ilenyewe, maanake unakunywa huku unawazia "side mirror" zako kama bado zipo au zimeshafika Gerezani.
Hupajui kaa kimya
sure wale watot wa pale ukilewa wanacheza na ww, ila mie huwa wananiogopa kwakuzani polisi.Oooh yeah waliniibia simu akina zuhura siendi tena
yeah au kimanga mwisho kuna kitu kinaitwa flora pub ingawa nowdays imeanza kufulia.Ila kilichonifanya nisiende pale kuna kijana wa tiss alitutishia bastolaUmesahau Vienna... PAUKWEEE...EEEEH!
hahaaa mbona zina park tu mkuu. Raha ya italian ni kuangalia wale watoto wazuriitalian pub kwa sisi wenye magari ya kubebea takataka tutapaki wapi pale labda nyie wenye bodaboda
Umekariri ndg haiko moja km unayoijua ww ya hapo kwa remmy ukishuka km unatokea mwenge upande wako huohuo inakutizama,,njoo na sinza whiteInn utaiona au ndio ww ukiambiwa McDonald unajua ipo UK tu
Pombe ya Home hainogi katu!