TFF na kamati yake ya kuandaa tuzo za mchongo wanaona aibu kila wakimtazama Khalid Aucho the tank

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,241
12,767
Asante Yanga Sc kwa kuliheshimisha taifa baada ya kutembeza kichapo Cha goli nne kwa nunge hakika taifa limeheshika baada ya Taifa kufedheheshwa na kikosi Cha wazee kilichocheza Kama kina msiba huko Ivory Coast.

Tuachane na hayo REJEA kwenye maada tajwa hao juu.

Toka mechi za Nbcpl zilizopita hakuna kiungo mkabaji aliyebora kwa Sasa Kama Khalid Aucho the tank, mwamba kabisa huyu Hana mpinzani katika hii ligi huyu mwamba anajua na anajua Tena achana na kiungo Punda aliyepewa promo na Baba Yao TFF.

*Pasi sahihi (zenye macho) kwenda kwa wachezaji

*Mikimbio yake katikati ya dimba la Kati imawafanya waarabu wakose nafasi za kupenyeza boli kwenda Yanga.

*Mwamba ana kaba, mwamba ana nguvu michezo ya physical contact mwamba anaiweza.

*Kimo chake na akili Aucho the tank kinambeba hakika mwamba anaiheshimisha Yanga katika dimba la Kati.

*Pumzi bila kuchoka na movement za kushoto na kulia iliwafanya mabeki Joab na Bacca wasiwe na kazi kubwa hakika mwamba ni kitaswa haswaa.

NB: TFF na kamati yenu ya Tuzo za mchongo msiweke jina la Khalid Aucho the tank Kama mlivyofanya msimu uliopita.
1708846501074.jpg
 
Asante Yanga Sc kwa kuliheshimisha taifa baada ya kutembeza kichapo Cha goli nne kwa nunge hakika taifa limeheshika baada ya Taifa kufedheheshwa na kikosi Cha wazee kilichocheza Kama kina msiba huko Ivory Coast.

Tuachane na hayo REJEA kwenye maada tajwa hao juu.

Toka mechi za Nbcpl zilizopita hakuna kiungo mkabaji aliyebora kwa Sasa Kama Khalid Aucho the tank, mwamba kabisa huyu Hana mpinzani katika hii ligi huyu mwamba anajua na anajua Tena achana na kiungo Punda aliyepewa promo na Baba Yao TFF.

*Pasi sahihi (zenye macho) kwenda kwa wachezaji

*Mikimbio yake katikati ya dimba la Kati imawafanya waarabu wakose nafasi za kupenyeza boli kwenda Yanga.

*Mwamba ana kaba, mwamba ana nguvu michezo ya physical contact mwamba anaiweza.

*Kimo chake na akili Aucho the tank kinambeba hakika mwamba anaiheshimisha Yanga katika dimba la Kati.

*Pumzi bila kuchoka na movement za kushoto na kulia iliwafanya mabeki Joab na Bacca wasiwe na kazi kubwa hakika mwamba ni kitaswa haswaa.

NB: TFF na kamati yenu ya Tuzo za mchongo msiweke jina la Khalid Aucho the tank Kama mlivyofanya msimu uliopita.View attachment 2915735
Huyu mwamba ni hatari, halafu wala halingi wala hana kelele. Alikuwepo Bangala na Djuma Shaban wakajifanya wako juu ya timu. Sasa hivi huko waliko hawana hamu.
 
Back
Top Bottom