Marhaba! Hujambo ww?
Na je kama mke ndiyo kamzidi umri bado amwamkie mumewe?
Nadhani "shikamoo" kama salamu ina maana ya kumnyeyekea mtu... kuonyesha kuna ambaye yuko juu ya mwingine - kiumri, kicheo, n.k. Sasa kwenye ndoa kuna hiyo hierachy? au kwa vile imani nyingine zinasema mume ni kichwa?
Inapendeza heshima iwe ya hiari na siyo ya kulazimisha.. na kwa wanandoa salamu yenye kuonyesha mapenzi ni bora zaidi kuliko ile yenye kuonyesha matabaka.
Habari zenu wana Jf,
Kuna hili jambo huwa najiuliza, sijapata jibu. Labda wana ndoa wanaweza kusaidia.
Je kuna umuhimu wa wanandoa au wapenzi kumpa shikamoo mwenzake aliyemzidi umri?
Why not.Nimeshasikia hili lipo, lakini kwa maoni yangu mke na mume hata kama kuna gap kubwa kiumri kati yao haipendezi mmoja kumpa shikamoo mwingine.
Unapenda shikamoo ww, mkeo unalala naye kitanda kimoja kila kitu anakijua kwako. Bado tu unataka shikamoo. Mie naona kama utumwa kwa mke kumsalimia mume.Moja ya misingi ya Mahusiano ni KUHESHIMIANA.
Kama shikamoo inakushinda, unaona ni mzigo.
Je HESHIMA nyingine utaweza kumpa????????????
Shikamoo ni THERMOMETER ya Heshima.
wala hainogi, mie zangu ni mambo, kwema? za utokako...inatosha.
...hivi kuna ubaya gani kuamkiwa jamani?
...utawasikia wenyewe "unanipa shikamoo unata kuninyima nini", /QUOTE]
Hii safi kabisa..... mmmmm aisee wengine unampa shikamoo anajibu 'shika wewe mara saba'
Duh lakini kumpa shikamoo mume au mpenzi haibambi...kikenya hichoooo.. hebu angalia hii ' shikamoo honey' mmmmm haiendani kabisa
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.Unapenda shikamoo ww, mkeo unalala naye kitanda kimoja kila kitu anakijua kwako. Bado tu unataka shikamoo. Mie naona kama utumwa kwa mke kumsalimia mume.
Hizo heshima nyingine ni muhimu kuliko shikamoo.
I mean it.Unahisi kudharaulika,na once hiyo hisia ikishakuwepo kwenye ubongo wako.Piga uwa galagaza,zaidi UTANITOA NGOZI MTOTO WA MWANAMKE MWENZIO BUREEEE.Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
heheheheWengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
unanikumbusha wale wazee wauza nazi pale kariakoo ambao ukiwapigia mjambisho wa mdomo wanaruka au kujinaniliu wenyewe. Shehe umetutisha kwa kauli yako hiyoWengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
unanikumbusha wale wazee wauza nazi pale kariakoo ambao ukiwapigia mjambisho wa mdomo wanaruka au kujinaniliu wenyewe. Shehe umetutisha kwa kauli yako hiyo
hehehehehehehe jamaa huyo naona ana matatizo ya saikolojia vp tumsaidie au?
Naona yeye kichecheo ni shikamoo