"Shikamoo" baina ya wanandoa: Je kuna umuhimu?

"Shikamoo" baina ya wanandoa: Je kuna umuhimu?

Wanawake wengi wanatulaghai anakuamkia 'Shikamoo' halafu akuuliza 'unakunywa chai na nini?'
 
naona wanawake ni wabishi tu asilimia kubwa ya wanawake ni wadogo kiumri kwa ume zao ukimwamkia shikamoo mmeo hutaitwa mwanamke? au utakuwa umedharaulika sana? mimi naona nijambo la kawaida tu sasa unakuta mme ammemzidi mwamnamke miaka 10 zaidi unategemea nini hapo
 
Kuamkiana Shikamoo mapenzi ya kizamani ya wa-baba na wa-mama zetu...
 
Me shikamoo hupendelea zaidi kuwapa vibabu vikware na namaanisha me si saizi yako wanajikuu kabisaaa lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom