Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hahaha...hivi unajua gharama ya kuQUOTE post yangu, acha tu kuMENTION jina watu8???...
Haya muda si mrefu utaletewa gharama ya ulichofanya...
Daddy manoah
Anko Filipo
Anti marejesho
brother Mzee wa Rula kwaherini mpaka kesho naenda kwa anko kutembea love all
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
Mxuuu muache mtoto wangu apumzike, usimsumbue
Karibu katoto kazuri.
Mimi mwalimu wako shuleni,
Swali la kwanza kesho jumatatu ni: ID yako nyingine hapa JF ni ipi?
CC: manoah
Nenda kaangalie matajiri wa JF Chitchat...ule mshiko umetunishwa kwa mishe mishe kama hizo!!
nami nitakuwepo hapa kwa kuibia ibia muda kwa muda huu napenda nisiishi kama orphans i should to have mama na baba watakao nilea vyema hapa chit-chat pia
aunt na uncle watakao kuwa wananipeleka shule.
Mie namba ngapi vile ?
hata huonekani...jina lako mwanzoni liliandikwa kwa chaki.
marhaba bibie........ hebu sema uzito wako haraka
Shkamoo bamkwe
mmh hawa wageni wenyeji....enewei karibu ila mie ni rafiki tu!!