Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
waoh, mwambie choklet, pipi kijiti, na lambalamba zake nimemuandalia... wakija wewe si utatoka kwenda kuangalia mpira utatuacha nyumbani?
Usiige tabia za huyo, utakua wewe tu ndio una mtembelea
ahsantee, promise
dada'ke yuko bize na fesbuku halafu amesema yeye laba ingekuwa pizza ndo angechukua
Haya kamsubiri kule ndani.
mh! hakuna kilaza, ila ye manywo hawezi
ahsantee, we baba mzuri!
dada, baba manoah kasema unipe chipsi, kuku, mayai, ubuyu, ashkrimu, kisheti, kaukau, juice, kijoti, soda na maji ya kunywa, usisahau na bagia na kachori
Ukimaliza kula kalale, alafu ukiamka uende ukaoge then uende nyumbani alafu kesho asubuhi utakuja
maktaba ndo pale jirani na chumbani kwa sharifaa
sawa, ntalala chumba cha watoto!
M nitakuwa mume wako.
Ndio, milango inatazamana