Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

Ninachoipendea Tanzania ni kwamba huyo aitwaye "mwizi" anaposema nipelekeni mahakamani lakini vyombo husika vyote VINAMWOGOPA. Asante Tanzania
 
Kwa nini mnataka mnavyofikili nyie na wengine wawe hivyo?kila mtu anamtazamo wake kwa fikla zake,shigongo yupo sawa
 
shigongo ni mwanaccm sikunyingi aligombea ubunge buchosa na Tizeba mwaka 2010 yeye akapigwa chini

shigongo anatakiwa aangalie wananchi wa kawaida ni nini kinawaumiza na wanataka nini na yeye awe pamoja nao! kumbe anavyo jifanya kuandika hadithi za ukombozi, halafu ukombozi unakuja anaukataa ni tatizo kubwa!:heh:
 
shigongo ni mwanaccm sikunyingi aligombea ubunge buchosa na Tizeba mwaka 2010 yeye akapigwa chini

shigongo anatakiwa aangalie wananchi wa kawaida ni nini kinawaumiza na wanataka nini na yeye awe pamoja nao! kumbe anavyo jifanya kuandika hadithi za ukombozi, halafu ukombozi unakuja anaukataa ni tatizo kubwa!:heh:
 
Shigongo ni rafiki wa karibu sana na Magufuli,ni watu wanaotembeleana katika familia zao kwa mda mrefu,muacheni ajipekeche tu japo anaijua vzr ccm ilivyomfanya 2010 kupitia mzee makamba,huwezi kusahau ndo maana anataka kupoza kidogo kwa swahiba
 
shigongo analinda biashara zake zisidaiwe TRA, lakni anajaribu kuona kama naye aweza kuteuliwa kuwa mbunge, sasa si ndo kazi ya wasaka vitumbua kwa baba riz hao: jaman watu kama hao tuwapuuze tu maana pamoja na kuwa na ka elim lakin bado hawana ufahamu kabisaa.
 
Kwa " umbwigiri " huu na wewe unajiita msomi? Hoja zako ni za kitoto kupita maelezo. Mbona husemi mgombea wenu ukawa alibambwa akimkanyaga 0713 serunkamba hotelini? au tuweke vitu hadharani? Na yeye lini ameacha tabia ya kupenda kuwabokoa wenzie 0713? Hivi akiwa rais hawezi kutuchana marinda yetu na sisi wanaume wengine?

Acha maneno ya kizushi wewe,ccm ilivyo na hasira na Lowassa haiwezi kumuacha akaishi kwa amani kama kweli alitenda au anatenda ujinga huo,kumbuka kuwa hadi sasa TISS imefuta likizo za maafisa wake wote ktk kile kinachoitwa rudini mumshughulikie Lowassa asishinde.
 
Acha maneno ya kizushi wewe,ccm ilivyo na hasira na Lowassa haiwezi kumuacha akaishi kwa amani kama kweli alitenda au anatenda ujinga huo,kumbuka kuwa hadi sasa TISS imefuta likizo za maafisa wake wote ktk kile kinachoitwa rudini mumshughulikie Lowassa asishinde.

Asante kwa taarifa mwana usalama wa taifa dilemma na tumekupata mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Pesa.n.shetan wa roho..mwenye macho aone.masikio asikie..wanachofanya wanaangalia wapi wanavuta mshiko.wanaandika


Laana hii ikasambae na vizazi vyao.vyotwee
 
slaa yupi unayemsema? Huyu ambaye mlikuwa mnasema padri mzinifu? Lini haya mapenzi na slaa yameanza kwa watu wa ccm?

List of shame ilitoa majina karibia 11 na wote hawa mlikuwa mmewakumbatia kama mungu na kuna wengine ni mawaziri na rais, mbona mafisadi wengine mmekumbatia kama mungu?

Hivi ngoja ni kuulize ni lini ccm ilichukia ufisadi ? Hii ni sera yenu maana watu wanaiba mnawaambia warudishe
tena wewe ufunge domo chafu hilo kama mfereji wa maji ya chooni.

Tukana tu kwa kuwa naamini andiko lisemalo "usimjibu mpumbavu sambamba na upumbavu WAKE usije ukafanana naye" siko tayari kufanana na wewe nasema el alipokuwa ccm alikuwa mbaya sasa hivi kaja ccm b amekuwa malaika hongera sanaaaaaaaaaaaaaaa ukawa , mwenye akili ataelewa nini kinachoendelea hapo bali wajinga kama wewe mnachekelea tu pasipokujua lolote kwaheri. PAMOJA na kumwita Slaa kuwa mzinzi kwa mujibu wako lakini hakubatilishi ukweli wa maneno yake CCM wanakumbatia msifadi akiwemo EL aliyeorodheshwa kati ya wale 11 mbona mmepokea kama hampendi ufisadi?
 
dilemma

Kama umesema utajili wake alipewa na MUNGU kwa nini unaamini watu wengine kupewa na vyama vya siasa?utarudi pale pale tu kupata kwetu ni juhudi zetu
 
Last edited by a moderator:
dilemma

Shigongo fanya kazi kwa unachokiamini achana na wahuni wa mitandao, wasikupangie uhuru wa kutoa mawazo yako.
 
Last edited by a moderator:
Eti watanzania wanataka mabadiliko nje ya ccm, are you serious you ladies and gentlemen? Nje ya ccm ndiyo huyo ngoyai? Amelelewa na kukulia ndani ya ccm, leo katoka kaingia sehemu ambayo hajui chochote na nyie mnafurahia eti ataleta mabadiliko, labda mnataka mabadilikochadema iwe kama ccm hapo nitawaelewa,. Watanzania tusisahau methali isemayo "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo". Edo kalelewa na ccm na wao wamemuona hafai, kama mtoto hafai, hana faida na kakataliwa na wazazi atakuwa na faida kwa wengine? Mwenye macho aambiwi tazama.
 
Back
Top Bottom