Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

kwann unampangia mtu cha kufikiria ye kafanikiwa kupitia hu mfumo ambao unahis mbovu nawewe tafuta namna mfumo utakao kubebaa
 
YEYE SI ANATUNGA HADITHI ANAJIHISI YY NI PROF! KWANZA UKUITAKA KUJUA IQ YA MTU KM ZIMO NA UNAFANYA SHUGULI YAKO WATEJA WANANCHI WOTE WANATUMIA PRODUCT YAKO..HAYA MAMBO YA SIASA HUJIIINGIZII KABISA HUKO NA HATA IKIBIDI KIMIAKIMIA.....The value of a college education is not the learning of many facts but the training of the mind to think.

 
A human being is a part of the whole, called by us "Universe", a part limited in time and space. He experiences himself, his thoughts and feelings as something separated from the rest - a kind of optical delusion of his consciousness. This delusion is a kind of prison for us, restricting us to our personal desires and to affection for a few persons nearest to us. Our task must be to free ourselves from this prison by widening our circle of compassion to embrace all living creatures and the whole of nature in its beauty. Nobody is able to achieve this completely, but the striving for such achievement is in itself a part of the liberation and a foundation for inner security.
 
Ivi shigongo ndio yule muandishi wa riwaya za mapenzi,ngono na udaku. sasa kujipendekeza kote huko kwa ccm alifikiri siasa ni kama tungo za kimapenzi au mahaba niue. alishafanya the same thing uchaguzi wa 2010 na leo anataka kurudia tabia yake ya kidhalimu kwa kupotosha uma wa watz. watanzania wa 2015 hawadanganyiki, wanataka mabadiliko. mwaka huu twende na Lowasa kwa mabadiliko ya kweli, dhamira ya kweli katika kutengeneza tanzania mpya na yenye usawa, serekali sikivu na rafiki kwa kila kada. Ninaimani Lowasa anaweza.
 
Huyu mjamaa uchaguzi wa 2010 alijaribu kugombea ubunge jimbo la Buchosa huko Sengerema. CCM anaowasifia wakampiga zengwe na kumwondoa kimipango. Nasikia safari hii hata hajaenda huko. Sidhani kama anafanya haya kwa bahati Mbaya kwa sababu anakijua sana hicho chama na tayari kimeshamuumiza. Lakini nafikiri huyu ni mmoja wa watanzania "wanaojiegemeza" na kupata maslahi binafsi katika mfumo huu unaolalamikiwa. Hawezi kujipambanua na kupinga dhurma kwa vile tu yy wanafaidika na "system".
 
ukiona hivyo ana uhalifu anayo fanya.uenda anakwepa kodi etc
 
Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?

Hujui pia kwamba mafanikio yake kayapata akiwa ndani ya serikali ya CCM?
 
huo ni uroho wa madaraka kaka ukiona mtu anajipendekeza kiasi hicho basi ujue ya kuwa nyuma yake kuna kitu anachokitafuta
 
kujikomba kwake ccm shigongo wampe kugombea ubumbe kwao buchosa basi si aligombea sijui kama kura za maono amepita.
 
Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?

Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?

Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?

Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.

Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.

Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.

Daaaa maneno mazito na yabusara kweli, hatamimi nimemshangaa kwa unafiki anao onyesha
 
Ukiwa mmiliki wa vyombo vya habari ambavyo havifungamani na upande wowote kisiasa si vema kuegemea sehemu moja na ukiegemea upande mf. wa serikali basi tunasema unatafuta favored. Lakini kama comment moja hapo juu kuhusu imani yake kutoka huko nyuma. Ninavyo wafaham #WASABATO wanafundishwa maadili nyumbani, kanisani na popote walipo na mtu akiamua kutanga mbali basi ni yeye mwenyewe ila nafsi yake itaendelea kukumbuka alichopewa.

Shigongo si msabato alipita tu.
 
Ivi shigongo ndio yule muandishi wa riwaya za mapenzi,ngono na udaku. sasa kujipendekeza kote huko kwa ccm alifikiri siasa ni kama tungo za kimapenzi au mahaba niue. alishafanya the same thing uchaguzi wa 2010 na leo anataka kurudia tabia yake ya kidhalimu kwa kupotosha uma wa watz. watanzania wa 2015 hawadanganyiki, wanataka mabadiliko. mwaka huu twende na Lowasa kwa mabadiliko ya kweli, dhamira ya kweli katika kutengeneza tanzania mpya na yenye usawa, serekali sikivu na rafiki kwa kila kada. Ninaimani Lowasa anaweza.

Da mkuuu nimecheka ila na el si ndo alikuwepo kwenye mfumo, toa sera zingine
 
Huo ni mtazamo wake... Wewe kinakuuma nini!? This is the democratic government every body anaUhuru wa kuongea chochote sasa nakushangaa bro
 
Back
Top Bottom