Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

Muda Mrefu Shigongo Anajikosha Kwa Gvt Na CCM.Hata Ubunge Aliwania Akakatwa.Mshari Abdilike
 
huyu shigongo ndiyo maana mimi binafsi nawaogopa sana watu wanaosema wamempokea bwana
hivi unaweza kumpokea bwana wakati unashabikia kundi la wezi wawakandamize waliowengi?

Huyu shigongo ni mtu wa kujipenyeza sana huyu
 
Magufuli ajibu yafuatayo kwanza

1. Alikuwa analala mabibo hostel block H room 201 kwa nani ?
2.sundi yule geologist wa barrick kule north mara ni nani yake
3. Kwa nini kamuuzia sundi nyumba ya serikali masaki karibu na Cheyo kwa TZS 170,000/
4. Zile bil 320 alizosema CAG kwenye report ya ukaguzi mwaka huu zimekwenda wapi
5. Kile kivuko cha kutoka dar to bagamoyo alinunua kwa manufaa ya nani?
6. Zile bil 3 serikali iliyolipa wale wavuvi wa ile meli ya wachina ni ujinga wa nani kukurupuka kufanya maamuzi?
7. Kwa nini alitishia meneja wa Asshleff kumfukuza nchini kwa kukataa kumpa hongo wakati wa kujenga barabara ya Sumbawanga
8. Samunge alienda kunywa kikombe anaumwa nini? Na mbona anazidi kupauka ngozi kadri siku zinavyokwenda mbele?
9. Kwa nini alipelekwa na mkewe kwa askofu kulalamikiwa kwa mienendo yake ya hovyo?
10. Kwenye documentary yake ITV last week aliposema ana watoto kadhaa alikuwa ana maana gani?
11. Kama uliweza kufukuzwa katoke seminary kwa kuiba mananasi je ni lini umeacha tabia yako ya wizi?
naikumbuka vizuri hii ishu ya mabibooo hostel, ila ngoja tuhifadhi maneno maana jamaa kashatubu kwa TB JOSHUA ya kale yamepita .
japo mods wamekuonea wamekuba ban
 
Kumbe Siku Hizi Ukimpigia Debe Mgombea Kwa Jinsi Unavyomkubali ni Makosa!? Yule Jamaa Wa Mawio Anayekesha kuandika Makala Mfululizo Kumuandama Zitto Kabwe Naye Kumbe Ni Wa Ajabu? Ninachoamini Mimi Kila Mtu Ana Uhuru Wa Kuamini Hata Kile Ambacho Anajua Hakiaminiki... Kumshambulia Shigongo Huku Mawio na Itv Zikiachwa Nikuonyesha ni Jinsi Gani Baadhi Ya Watanzania HAtuna Upeo mkubwa katika Tunalo lisimamia..
 
Hivi jamani mbona mazuri ya ccm hamyasemi?,huo ni upungufu wa kufikiri,na kudanganya watu,ni sawa na lowasa na baadhi mnaoshikilia kauri nusu ya marehemu nyerere eti mabadiliko yatapatikana nje ya ccm hammalizi kwamba ila raisi bora atatoka ccm hivyo ndivyo alivyosema marehemu nyerere,mnakaa kuwalisha watu sumu matango pori na uongo watu,dhambi ya uongo itawatafuna tu haswa tarehe ya uchaguzi subirini
 
Magufuli ajibu yafuatayo kwanza

1. Alikuwa analala mabibo hostel block H room 201 kwa nani ?
2.sundi yule geologist wa barrick kule north mara ni nani yake
3. Kwa nini kamuuzia sundi nyumba ya serikali masaki karibu na Cheyo kwa TZS 170,000/
4. Zile bil 320 alizosema CAG kwenye report ya ukaguzi mwaka huu zimekwenda wapi
5. Kile kivuko cha kutoka dar to bagamoyo alinunua kwa manufaa ya nani?
6. Zile bil 3 serikali iliyolipa wale wavuvi wa ile meli ya wachina ni ujinga wa nani kukurupuka kufanya maamuzi?
7. Kwa nini alitishia meneja wa Asshleff kumfukuza nchini kwa kukataa kumpa hongo wakati wa kujenga barabara ya Sumbawanga
8. Samunge alienda kunywa kikombe anaumwa nini? Na mbona anazidi kupauka ngozi kadri siku zinavyokwenda mbele?
9. Kwa nini alipelekwa na mkewe kwa askofu kulalamikiwa kwa mienendo yake ya hovyo?eeee
10. Kwenye documentary yake ITV last week aliposema ana watoto kadhaa alikuwa ana maana gani?
11. Kama uliweza kufukuzwa katoke seminary kwa kuiba mananasi je ni lini umeacha tabia yako ya wizi?
eeee bhana eeee !!!! mkuu kigogo shikamoo ! mimi siongezi kitu .
 
Hivi jamani mbona mazuri ya ccm hamyasemi?,huo ni upungufu wa kufikiri,na kudanganya watu,ni sawa na lowasa na baadhi mnaoshikilia kauri nusu ya marehemu nyerere eti mabadiliko yatapatikana nje ya ccm hammalizi kwamba ila raisi bora atatoka ccm hivyo ndivyo alivyosema marehemu nyerere,mnakaa kuwalisha watu sumu matango pori na uongo watu,dhambi ya uongo itawatafuna tu haswa tarehe ya uchaguzi subirini
masahihisho - nyerere siyo marehemu ni hayati .
 
Kila mtu ana uhuru wa kupaza sauti kwa kile anachokiamini, mbona tunataka watu wote wawe na mawazo yanayofanana.Unajua inawezekana kabisa sera za CCM zilizompa mtu mmmoja fursa wewe hukuziona. Sio lazima kila mtu awe mwanaharakati
 
Hivi jamani mbona mazuri ya ccm hamyasemi?,huo ni upungufu wa kufikiri,na kudanganya watu,ni sawa na lowasa na baadhi mnaoshikilia kauri nusu ya marehemu nyerere eti mabadiliko yatapatikana nje ya ccm hammalizi kwamba ila raisi bora atatoka ccm hivyo ndivyo alivyosema marehemu nyerere,mnakaa kuwalisha watu sumu matango pori na uongo watu,dhambi ya uongo itawatafuna tu haswa tarehe ya uchaguzi subirini
Lete wosia !!! Achakulalama
 
Hivi wanamabadiliko mnapoteza muda kujibishana na m
accm kwa nn.Ss tumeshawaeleza hakuna cha sera au upumbavu wa sera uliotufikisha hapa.Tuwazike kwanza sera baadae.
 
Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?

Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?

Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?

Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.

Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.

Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.

Acha wivu wewe. Yeye ni raia wa tz so yupp huru kusema aonavyo yeye ni sahii.
 
Kumbe Siku Hizi Ukimpigia Debe Mgombea Kwa Jinsi Unavyomkubali ni Makosa!? Yule Jamaa Wa Mawio Anayekesha kuandika Makala Mfululizo Kumuandama Zitto Kabwe Naye Kumbe Ni Wa Ajabu? Ninachoamini Mimi Kila Mtu Ana Uhuru Wa Kuamini Hata Kile Ambacho Anajua Hakiaminiki... Kumshambulia Shigongo Huku Mawio na Itv Zikiachwa Nikuonyesha ni Jinsi Gani Baadhi Ya Watanzania HAtuna Upeo mkubwa katika Tunalo lisimamia..

Pokea like yangu kubwa kabisa dada.
Tena gazeti la Mawio ni la Kubenea, na kubenea sijkumbuki kupitia gazeti gani ndiye aliyekuwa kinara wa kufichua ufisadi wa richmond na kumgangania lowasa kuwa ndiye muhusika mkuu. Leo baada ya kuindiga cdm na kugombea ubunge jimbo la ubungo KAGEUKA GHAFLA, na ndie anamsifia lowasa na kumsafisha...hapo ndio unajua waandishi makanjanja/maslahi ni wepi
 
Kila mtu anauhuru wa kuwa upande wowote, that is personal attack kwa Shigongo! Kila mtu asimamie uhuru wake na maamuzi yake. mwandishi anayemshauri shigongo kama kweli ni mdogo wako. mbona husemi kama umemfuata na kuongea naye kama hilo ni tatizo? Wewe kwenye maisha yako unafanya vitu vya kijinga jinga lakini hakuna anayekuandika kwenye hii forum? Heshimu maamuzi ya mtu na wala msimsingizie Mungu kwenye vitu asivyohusika.

Kama kweli unaakiri timamu, jali mambo yako na misimamo yako. Mwisho wa siku kila mtu atapata anachokitarajia, zingine zitabaki story tu.
 
Demokrasia ni pamoja na kuamini ambacho mwenzako haamini,Ni haki yake Shigongo kuona Magufuli ana faa kuliko Lowassa,ni mtizamo wake usilazimishe mtu awaze unavyo waza wewe
 
huyu shigongo ndiyo maana mimi binafsi nawaogopa sana watu wanaosema wamempokea bwana
hivi unaweza kumpokea bwana wakati unashabikia kundi la wezi wawakandamize waliowengi?

Huyu shigongo ni mtu wa kujipenyeza sana huyu

Lowassa ni mtu safi? Ni jambazi kabisa
 
OPia kuna suala la ukabila. Usukuma sasa unakuja juu. Kuna jamaa tunafanya naye kazi muda mrefu namfahamu kuwa ni mwana mabadiliko lakini kwa kuwa ni msukuma, toka ateuliwe magufuli hana habari nyingine mbali na kuisifu ccm
 
Kaamua tu kujisafisha kwa chama chake baada ya kugundulika ametoa mchango wa pesa kwa Ukawa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu ujao. Sasa ndio hivyo anajitia kupulizia.

Ova
 
Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?

Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?

Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?

Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.

Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.

Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.

Ulitaka amuandike nani? je angeamuandika lowassa kuwa ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania ilhali naye hajawa rais ungeleta habari kama hii? mbona kuna vituo vinavyotoa habari za kuwabeba ukawa ila husemi? ungekuwa mkweli ungechambua media zote zinazoripoti taarifa za upande mmoja hata mimi ningekuunga mkono.

Tatizo la shigongo kwako ni kuandika habari ya usiyempenda ila angeandika za mgombea wa ukawa ungeanza kusifia kuwa mafuriko hayazuiliki kwa mikono. Usidhani kila mtu anataka kusikia unayoyataka au kuandika unayoyataka bali uvumilivu ni muhimu sana kwani media za Tanzania haziko huru na hasa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom