LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Mimi sisemi
https://www.youtube.com/watch?v=SpRfcgqtCjM

Msamehe bure mkuu, kafilisika SERA hadi gazeti lake toleo la mwaka mzima anaandika historia ya maisha yake na familia yake MAKUBWA.......!Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?
Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?
Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.
Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.
Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.
Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?
Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?
Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.
Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.
Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.
Shigongo ni opportunist tu yule
Angalia aina ya habari ambazo magazeti yake yanaandika utajua huyu jamaa yupo kimaslahi zaidi
Ataachaje kujipendekeza wakati wa TZ wengi wamenyimwa elimu hawasomi analytical news wanasoma vigazeti vyake vya udaku na kubaki maboya.sasa jaona wanazinduka wanataka mabadiliko!Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?
Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?
Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.
Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.
Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.
slaa yupi unayemsema? huyu ambaye mlikuwa mnasema padri mzinifu? lini haya mapenzi na slaa yameanza kwa watu wa ccm?EL ana usafi gani mbele ya magufuli na hao wamasai wote waliohmia chadema toka ccm hawamuungi mkono mmasai mwenzao EL acheni unafiki shigongo yuko sahihi huyo mtu wenu anaye hangaika kununua uongozi kaifanyia nini Tza mpaka afikie kupewa urais mara elfu mngesemea Dr. Slaa ningwaelewa kuliko huyo fisadi anayehangaika khonga apte urais shu-up yuor mouth vote for Magufuli, hata hivyo EL haijui chadema kwa sababu yeye ni CCM ndiyo maana Prof Limpumba kawaambieni CCM ina wagombea wawili kwenye uchaguzi mwaka huu EL na Dr Magufuli mnakimbia moto mnazama baharini poleni sana ukawa
Magufuli ajibu yafuatayo kwanza
1. Alikuwa analala mabibo hostel block H room 201 kwa nani ?
2.sundi yule geologist wa barrick kule north mara ni nani yake
3. Kwa nini kamuuzia sundi nyumba ya serikali masaki karibu na Cheyo kwa TZS 170,000/
4. Zile bil 320 alizosema CAG kwenye report ya ukaguzi mwaka huu zimekwenda wapi
5. Kile kivuko cha kutoka dar to bagamoyo alinunua kwa manufaa ya nani?
6. Zile bil 3 serikali iliyolipa wale wavuvi wa ile meli ya wachina ni ujinga wa nani kukurupuka kufanya maamuzi?
7. Kwa nini alitishia meneja wa Asshleff kumfukuza nchini kwa kukataa kumpa hongo wakati wa kujenga barabara ya Sumbawanga
8. Samunge alienda kunywa kikombe anaumwa nini? Na mbona anazidi kupauka ngozi kadri siku zinavyokwenda mbele?
9. Kwa nini alipelekwa na mkewe kwa askofu kulalamikiwa kwa mienendo yake ya hovyo?
10. Kwenye documentary yake ITV last week aliposema ana watoto kadhaa alikuwa ana maana gani?
11. Kama uliweza kufukuzwa katoke seminary kwa kuiba mananasi je ni lini umeacha tabia yako ya wizi?
Shigongo saivi anatema shudu baba yaani sijui kaahidiwa nini?
Mimi najua watu wanaoandika hivi vitabu wanaweza wakawa hawako katika chama chochote ila ni wanaharakatii ila yeye anajiweka kabisa ni CCM duh!! Baba umevurugaa