KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Kitakachoiokoa ccm ni magufuri.
Da mkuuu nimecheka ila na el si ndo alikuwepo kwenye mfumo, toa sera zingine
Huyu Shigongo ni nani katika siasa za nchi hii?
Shigongo si msabato alipita tu.
slaa yupi unayemsema? huyu ambaye mlikuwa mnasema padri mzinifu? lini haya mapenzi na slaa yameanza kwa watu wa ccm?
list of shame ilitoa majina karibia 11 na wote hawa mlikuwa mmewakumbatia kama mungu na kuna wengine ni mawaziri na rais, mbona mafisadi wengine mmekumbatia kama mungu?
hivi ngoja ni kuulize ni lini ccm ilichukia ufisadi ? hii ni sera yenu maana watu wanaiba mnawaambia warudishe
tena wewe ufunge domo chafu hilo kama mfereji wa maji ya chooni.
Akituma jeshi lake la OFM wakakukamata unazini ndiyo utajua yeye ni nani. Ana magazeti pendwa yanayoongoza kusomwa hasa na vijana na anaweza ku-influence baadhi yao. Don't be so dismissive mkuu....Huyu Shigongo ni nani katika siasa za nchi hii?
Akituma jeshi lake la OFM wakakukamata unazini ndiyo utajua yeye ni nani. Ana magazeti pendwa yanayoongoza kusomwa hasa na vijana na anaweza ku-influence baadhi yao. Don't be so dismissive mkuu....