Lakini kama comment moja hapo juu kuhusu imani yake kutoka huko nyuma. Ninavyo wafaham #WASABATO wanafundishwa maadili nyumbani, kanisani na popote walipo na mtu akiamua kutanga mbali basi ni yeye mwenyewe ila nafsi yake itaendelea kukumbuka alichopewa.Mlitaka amsifie mamvi hhhahahhahaha hebu mwacheni bana kwani magazeti mliyoyanunua hayatoshi
Mkuu swala la kuwa mfuasi wa chama hiyo ni maamuzi ya mtu mwenyewe. Do not compare maswala ya dini na vyama vya siasa. Kila mtu ana haki ya kuchagua chama cha kushabikia
EL ana usafi gani mbele ya magufuli na hao wamasai wote waliohmia chadema toka ccm hawamuungi mkono mmasai mwenzao EL acheni unafiki shigongo yuko sahihi huyo mtu wenu anaye hangaika kununua uongozi kaifanyia nini Tza mpaka afikie kupewa urais mara elfu mngesemea Dr. Slaa ningwaelewa kuliko huyo fisadi anayehangaika khonga apte urais shu-up yuor mouth vote for Magufuli, hata hivyo EL haijui chadema kwa sababu yeye ni CCM ndiyo maana Prof Limpumba kawaambieni CCM ina wagombea wawili kwenye uchaguzi mwaka huu EL na Dr Magufuli mnakimbia moto mnazama baharini poleni sana ukawa
Neno la Mungu ktk kitabu cha Mithali 14:12 linasema,ipo njia ionekanayo sahihi machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake ni njia ya mauti,mdogo wangu tayari umesahau ulipotoka mara hii tu?
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuchukua kalamu na kuandika kuwa Magufuli ndiye suluhisho la matatizo ya watanzania?
Umejuaje wakati hata ikulu hajaingia? Kwanini umekuwa mtu wa kujipendekeza sana kwa serikali? Umesahau kuwa umaskini uliowatesa wazazi wako ulisababishwa na serikali ya CCM?
Hujui kuwa aliyekuinua wewe kiuchumi siyo CCM bali ni Mungu wako? Watanzania wenzako wanaoteseka na maisha magumu yaliyosababishwa na CCM umewasahau na kukumbatia serikali hii isiyo na upendo na watu.
Kwa taarifa yako CCM wanakupenda kwa kuwa unacho, ungekuwa kapuku usingemjua JK wala Pombe, wanakupenda kwa kuwa una media na unawafagilia.
Mtu yeyote mwenye hofu ya Mungu hachangamani na watawala wabovu na wala kunywa divai yao, hebu msome nabii Elia, unajiona uko sahihi sana kumbe unapita katika njia ambazo ni machukizo ya Mungu na hutaikwepa ghadhabu.
Shigongo mzee wa kufungua vizibo vya kina dada
Mi sizani kwamba Lowassa ni fisadi kiasi hicho kwanza lowassa alikuwa fisadi ndani ya CCM lkn kama ametoka CCM mi najua ataacha ufisadi lkn magufuli mnasema hana kashfa Ok right lkn kwenye CCM lazima atapat tu kashfa na atakuwa mfisadi sana maan kama lowassa Ndo alikuwa fisadi ndani ya serekali ya CCM na jk wake alipojiuzulu kusinge kuwa na ufisadi tena lkn baada ya kujiuzulu kwake ndo tumeona ufisadi mkubwa Sana ndani ya CCM kama ile ya escrow na mengine mengi yaani hapa cangalii mtu naangalia chama maana rais atakapokuwa madarakani atafanyakazi kulingana na ilani ya chama
dilemma
Msimhukumu yeye chanzo ni asili yake ya kuwa ameokoka lakini kabeba mizimu inayomtafuna! Haiwezekani mtu anaejitangaza kaokoka akafungua klabu ya anasa kama Dar live inayouza kila aina ya kilevi na kuchochea zinaa (ingawa tunajua yuko na mkono wa mtu mwingine) Nachofahamu falme mbili zinazofanana hazifitiniani tumsamehe tuombe toba kwa ajili yake ili MUNGU amsamehe kupitia toba ya kweli
watu bhana! Sasa kosa la shigongo liko wapi! Na mbona mzee kingunge alimnadi Lowasa tena waziwazi!! Na akazidi kuonesha mapenzi aliyonayo kwa Lowasa hata alipokatwa!! Na wachungaji waliojiingiza kwenye siasa! Na wanapayuka kabisa et Lowasa ni Chaguo la Mungu!