LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao mbalimbali ya kijamii. tarifa zote zinazo andikwa kwenye magazeti ya udaku, zinakuwa tayari zimeshaandikwa kwenye blogs. Kwa mujibu wa DUDUMIZI.COM katika kila watanzania 10, mtanzania mmoja anatumia mtandao....Muda si mrefu sana, magazeti ya udaku yatakufa kama yalivyo kufa majarida..