Shigongo amvaa Tundu Lissu

Shigongo amvaa Tundu Lissu

MAMLAKA YA KUKOSOA ALICHOANDIKA MWALIMU WAKE KAMPA NANI KAMA SIYO ULIMBUKENI WA TUNDU KUTAKA SIFA ASIZOKUWANAZO KWA FIELD AMBAZO HAZIJUI? AU ALITAKA IANDIKWE ATAKAVYO YEYE MKULMA IKUNGI?
Kwaiyo walimu hujuwa kila kitu hawana mapungufu bora nilale ntaota sio kubishana na wewe
 
Aendelee kuwaandika wakina uwoya tu,hana guts za kumwongelea super dupa lawyer's president 'lissu'
 
Shigongo si wale ambao hawana akili wanashabikia idd amin hata kupiga walemavu
 
Twaweza wesha sema mccm yeyote elimu in ndogo ndio maana shigongo hamwelewi Lissu
 
Lile deni halilipiki maana uli inflate sana zile bei khanga tshirt na kapelo kuwafaidisha kina Riz1 na King'oko imekula kwako!!!! Aibu umefunga Jburg hoteli imekuwa panga la kupigia s time malaya wa La Chaaz......kwisha habari yako heri wangekupa hata ubunge!!! Huna deal achana na kichwa hichoo
Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.

Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.

"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo

View attachment 525174
 
IMG_-bst92b.jpg

Shegongo ni mtu mdogo sana kwa Lissu,ndo maana maelezo ya Lissu aloandika na kuongea hajayaelewa.
 
Kwan ni lazima binadamu wote tufikiri sawa??? Kila mmoja anatakiwa kusimamia kile anachokiamin iwe ktk siasa au maisha tu ya kawaida....hvyo sion haja au sabbu ya bwana shigongo kujitesa kujua kwann mh lissu hayupo km wanavyotaka wao.....kina lissu wangesema wawe km kina shigongo wanavyotaka miaka ya 90's bas hata hili la makinikia leo tunaloongelea tusingelijua.....utofaut wa mawazo ni kitu muhimu sana na binafs naamin hta mh rais yapo mambo ambyo akisikia kutok kwa wapinzan mf kwa lissu anayakubali na kujua umuhm wake ila anakubali kimya kimya(kimoyo moyo) ili isionekane kafundishwa au kapewa mwanga na wapinzan....vivyo hvyo ht kwa wapinzan mf huyo lissu najua ypo mambo mh rais anayafnya kimoyo moyo wanaunga mkono ila ni ngumu kuyasema adharani kwasabb ya kuepusha kubweteka kiutendaji lakin pia kichama ni changamoto.....

Ila sio muhim kufoc watu wakuunge mkono pasipo wao kuamua...tena ni bora ichukue mda mrefu kwa mtu kufikilia kuunga mkono mana akisema akuunge mkono au awe upande wako bas jua kua umemshawish vya kutosha na atakupenda zaid than yule mtu anaekurupuka kuunga mkono kitu bila kutafakar kiundan akijapata uelewa akagundua ulidangany bas tambua mtu wa aina hi utampoteza kirahis sana

Kufata mkumbo hakufai bora uwe peke ako ila uwe fresh na unachokiamin
 
Back
Top Bottom