Shigongo amvaa Tundu Lissu

Shigongo amvaa Tundu Lissu

Udaku na mambo ya kisheria wapi na wapi!?

Mtapambana na Lissu Ila mwisho wenu hamtomuweza.Ni jambo la kusikitisha kichwa kimoja kinawasumbua na kuwakurupusha na matamko uchwara toka kila pembe ya dunia. Na baaado!!!!!
 
Shigongo njaa imemnyoosha sasa anataka atoke vipi. Kwa kupitia Tundu Lissu anadhani Magufuli atamuona ili amuagize Kinana amlipe déni lake analoidai ccm. Si mnakumbuka alikuwa analia lia humu ? Njaa ya tumbo inamsumbua Shigongo.


Pili anafikiri kuwa, kwa kumpinga L'issu atapewa cheo.

Poor Shigongo, mbona zile semina zako za uwezeshaji umeacha ? Kumbe hata ww ulikuwa mpiga dili halafu ukajifanya umeweza ? Swine,grown old and tired !!
 
KUISHABIKIA CCM LAZIMA ULE UNGA WA NDERE-mawazo potofu yaani kule primary level kuna maswali unaambiwa jibu ndiyo au hapana.mfan BABA YAKO NI BIBI YAKO? UTASIKIA MICCM ndiyoooooooooooooooo
 
Humjui Lisu pimbi wewe, Lisu ni Mnyaturu. Huna elimu, huna exposure hata nchi yako huijui alimradi upoupo tu sawa na maiti, Jews state ina raia wachache sana lakini hakuna galasa kama wewe hata mmoja ndio maana they make things happen.
Mwambie huyo, yaani watanzania ni wajinga dunia nzima, yaani hawajielewi
 
Shigong Aache kwanza uzinzi..amtembea na anti liz mwaka wa 17 huu..hana uhalali wa kuongea lolote kwa mgongo wa ulokole
 
Ni imani yangu kuwa kila mtanzania mwenye akili timamu na mzalendo anaunga mkono juhudi za Rais kudhibiti wizi wa raslimali za taifa likiwemo hili la mchanga wenye madini.
Hata hivyo, kuna tofauti za mawazo ya jinsi ya kulishughulikia. Hapa ndipo tatizo linapoanzia.
Kutokuelewana huku kunakuzwa zaidi na wivu wa kijima unaoelekea kuligawa taifa kivyama vya siasa na unaweza kufikia ngazi za kikanda hata kikabila.
Huu wivu na kiburi cha kijima ni lazima vipigwe vita kwani vinazaa ubaguzi ambao ni hatari kwa taifa.
 
Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Aisee, the Wish Magufuli to Fail Campaign(WMFC) has alot of followers!However that is wishful thinking,it will not succeed.It will only strengthen his resolve.
 
Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Kaka kawatetea wazungu kivipi. Maana naona kama hujui Hoja za Lissu. Sema katetea ktk lipi mkuu
 
..shigongo anajiona anajua pale anapowaandikia wajinga wa nchi hii vijarida vyake vya kufi.rana na kujiona anasomwa na wajinga wengi...anasahau kuwa Lissu ni jabali na mwamba halisi ambae tafakuri zake hata shigongo hawezi kuzisoma....achilia mbali kuzielewa....
 
Shigongo ni kama sisimizi kulinganisha na Tembo ambae ndo Lissu
kwenye uelewa wa mambo
Anajua sheria tu. Siyo mult discipline huyo. Hayupo vizuri anajifanya kujua hata kwenye matokeo ya kikemikali na kimahesabu ambako alipata ufaalu hafifu sana.

Kila kitu anajifanya anajua na kuropoka.
 
..shigongo anajiona anajua pale anapowaandikia wajinga wa nchi hii vijarida vyake vya kufi.rana na kujiona anasomwa na wajinga wengi...anasahau kuwa Lissu ni jabali na mwamba halisi ambae tafakuri zake hata shigongo hawezi kuzisoma....achilia mbali kuzielewa....
tafakuri za lisu 'zinamkuna' msomali wa nzega tu na watu aina yake
 
yan shigongo anatujaza kutoana bado watz wa karne ya20, ww nenda kalale sku hz page zako umeona hazsomw unatafta kki wa watu, mara Diamond hv mara ukaandka Ali kiba tena ssa leo unamuandka Heavy weight wkt ww uzto wa nyoya,, kalaleeeeee!
 
  1. Ninahakika Shigongo hawezi kukiona anachokiona Lissu kwenye mikataba ya madini...haiwezikani watu wote milioni 40 wakafikiria kama Magu anavyofikiri katika karne hii...nchi itakuwa haina watu labda wanyama.
 
Back
Top Bottom