Shigongo amvaa Tundu Lissu

Shigongo amvaa Tundu Lissu

Lissu ni mtu mzuri sana ila tu anatatizo moja tu la UNAFIKI ni mnafiki sana huyu jamaa najua mnanielewa Lumumba na Bavicha nyie kumbukeni tu Saga la mh.Lowassa ndo mtaona uanfiki wake
 
Humjui Lisu pimbi wewe, Lisu ni Mnyaturu. Huna elimu, huna exposure hata nchi yako huijui alimradi upoupo tu sawa na maiti, Jews state ina raia wachache sana lakini hakuna galasa kama wewe hata mmoja ndio maana they make things happen.
Wapumbavu walipumbazwa kuwa duniani kuna wahuni Mungu kawafanya wateule, kumbe ni makaburu ya kizayuni...stupid galatians !

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Kuna vitu vyachekesha.
Wewe upotoshe ukweli, halafu wewe tena upendekeze huyo uliyemtungia maneno, akapimwe. Kama ni kupima nadhani basi vianzie KWAKO.
 
Hajaipinga ameikosoa takataka wewe
MAMLAKA YA KUKOSOA ALICHOANDIKA MWALIMU WAKE KAMPA NANI KAMA SIYO ULIMBUKENI WA TUNDU KUTAKA SIFA ASIZOKUWANAZO KWA FIELD AMBAZO HAZIJUI? AU ALITAKA IANDIKWE ATAKAVYO YEYE MKULMA IKUNGI?
 
Tatizo ccm mlimzarau wakati anapinga mikataba ya kinyonyaji hii ,tena kwa ndioooooo,acheni ubwege wenu
 
Kwamba hata wewe hujui awatete juu ya nani!
Kweli kuwa mfuasi wa Cdm lazima uwe nusu kichwani!
Anaacha kuitetea Tanzania anawatetea Wazungu
Wewe unaona yupo sawa!

Mkapimwe siyo bure
Sijajiandaa kutukanana na mtu. Akili yako Hapo ilipofika kuelewa panakutosha
 
uyo eric anaongea kitu ambacho hata hakielewi, hao accacia wamekubali wapi? mbona shigongo anataka kutuaminisha uongo? inaelekea hata kufuatilia ili sakata mtandaon hafuatilii
 
Back
Top Bottom