Shigongo amvaa Tundu Lissu

Shigongo amvaa Tundu Lissu

Kuiunga mkono CCM na vigogo wake wote tokea juu hadi chini yakupasa uwe tabula rassa kichwani
Hiyo ni Lugha ya mjombawako !!
Lakini inafahamika
Wafuasi wa Cdm ni Watu wasio na uwezo wa kutafakari mambo
Wala hawajui no
 
Sikukuu ya wajinga hapa kwetu ni mwaka mzima
Watanzania wote mnatakiwa muwe makasuku na kucheza ngoma msiyoijuwa, huu ni uandishi au Rubbish kabisa?

Waliochaguwa kujikomba na waendelee wengine hatuishi kwa kuvizia teuzi mpaka mwisho wa maisha yetu, tusifanyane wajinga tunajuwa kudigest mambo tena kwa kiwango cha juu sana.

New-Doc-2017-06-16_1.jpg
 
Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.

Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.

"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo

View attachment 525174
Pesa zake alilipwa?
 
Tundulisu anapigania nchi isiibiwe ila CCM wanapigania nchi iibiwe. Ingekuwa kweli CCM wanapigania nchi isiibiwe wange sitisha usafirishaji wa Gold kabisa na Sio mchanga. Sasa mnapiga marufuku makinika unaacha pure Gold inaonndoka.
 
Yupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Wewe unatetea watawala waliouza madini yetu wanatuachia mashimo buzwagi, northmara, geita nk
 
Lisu ni ubishi tu wa kinyaramba unamsumbia ! Hivi ana kesi yoyote ya rejea ?
Humjui Lisu pimbi wewe, Lisu ni Mnyaturu. Huna elimu, huna exposure hata nchi yako huijui alimradi upoupo tu sawa na maiti, Jews state ina raia wachache sana lakini hakuna galasa kama wewe hata mmoja ndio maana they make things happen.
 
Kumwelewa Tundu mtoto wa Antipas Lisu yakuhitaji uwe na na mfumo wa Electronic Machine kwenye ubongo wako na uwe na uwezo wa kuwaza na kuchambua na kuchanganua mambo kwa speed ya 190kp/h...

Huyu Erika Shigogo alizoea mipasho sasa analeta mipasho mbele za wanaume wenye IQ 150.... Aache ujinga kwenye mambo ya msingi
 
Tunamsubilia wamkamate ili ajifanye kuja kwetu na kuona umuhimu wa lisu
 
Alimshundwa Meneja wa Daimond atamweza Lissu hii ngoma nyingine sisi wanaccm tumemshindwa
 
HIVI TAKATAKA KAMA TUNDU ANAWEZA KUPINGA REPORT ILIYOANDIKWA NA PROF. MRUMA NA PROF. OSORO????
Porofesa uchwara hata kusoma report aliyoiandika mwenyewe anashindwa!!?

Anasoma report huku mara anatafsiri, ma emotions kibao. profesa RUBISH.
 
Porofesa uchwara hata kusoma report aliyoiandika mwenyewe anashindwa!!?

Anasoma report huku mara anatafsiri, ma emotions kibao. profesa RUBISH.
PROFESSOR IS AN INTERNATIONAL TITLE HOW ABOUT FOOLISH ONE WHO KNOWN ONLY AT IKUNGI DISTRICT? TAKE CARE
 
Baada ya kuona watu wamechoshwa na riwaya zake za kunakili ambazo si ubunifu wake, amekuwa kama mgonjwa wa njaa hajui ashike wapi wala aongee nini..
 
Back
Top Bottom