Shida ya wanaume humu ni hii

Shida ya wanaume humu ni hii

Mi ninavyojua sisi broke niggaz ndiyo tunacompensate kwenye ngono sasa umekutana na jamaa gani hana mpunga na kazi imemshinda?
Mzembe sana huyo. Mkikaa kwenye vikao vyenu mkumbushane mwanaume asikose pesa na machejo angalau awe na kimoja
 
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.

Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.

Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.

Hata mtoe vifutio jashooo.
eti kishoia na tunashoia kweli kama waka wa kichaka woii
 
Cha msingi umeshaonjwa na hujaachiwa kifuta jasho na hilo sisi Kama wanaume tunampongeza kijana mwenzetu hata Kama aliingiza na kutoa tu bila kusugua sana hiyo inatosha
Kusugua sana tutamsaidia sisi siku ukiingia kweny mtego
 
Ili mtu aweze kuyasema haya anakua na uzoefu /amelipitia jambo,
Kujua wanaume hawana nguvu umejuaje kama hunakutana na wanne watano ili tafiti ikae sawa.
Inawezekana pia wewe ni tatizo
 
Sijui ndo upumbavu wangu tu! Kila nikisoma nyuzi za huyu mtu sielewagi anauza nn!

Gest, hela, nguvu, yaani sielewi elewi!
 
Nimerudia kusoma tena nimecheka sana 🤣🤣🤣🙌🙌🙌 kumbe mnapeana sana Papuchi humu Aloooo Nina pitwa na mengi sana mbwa mie 🤣🤣🤣🙌
Mwenyewe nimeshangaa kwa herufi kubwa mkuu,, inaonekana tupo nyuma ya wakati.
 
Hakikisha Username yako na Avatar vinaendana na kuleta mvuto kwa jinsia nyingine.

Pia ukitunukiwa usiuze Show. Kama huwezi omba msaada au sema ukweli acha tantarila nyiingi, unapunguza Utamu.

Watu wapo kazini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom