ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,279
Maji ya chumvi, sindiyo?Kumbe wewe ni jirani yangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sijui shida ya maji , ninapoishi tuna karo la maji huwa tunategeshea mpira siku ya maji kutoka yaingia karoni, then tunabaki kutumia tu.