Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,731
- 99,608
Hivi kuna watu bado huwa wanasikiliza na kuamini CCM watatimiza ahadi?Hizo akili za kutatua changamoto wazitoe wapi?Na CCM walifanya siasa za ushindani visima nzuguni na kuahidi mwezi na 8 tabu imeisha lkn mpaka leo tank tupu bado ndio nimeelewa kwa wengine wanarudisha kadi